Recent content by muhhidinramadhan

  1. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu; Hii ndo dawa ya makazi holela kwenye miji mipya Tanzania

    Wazo zuriii bro but serikali Za mitaaa..majanga. 1.pesa mbele 2.professional hawana. 3. Haki na makosa watavuruga tyuu.. maana madudu tunayaona mtaani hatariii
  2. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco meter za luku.bei zikoje. Na gharama zingine kubadili miter ya luku
  3. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Tusimchukulie Mohamed Dewji poa... hebu cheki hapa

    Daaaa big up.mkuu....umeongea kwa fact sanaaa...I like
  4. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Hivi Sirro yuko wapi, mbona kama hamu ya kazi imemwishia mapema

    Kwan kuna update ya kiki....
  5. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Museveni watoa tamko kulaani mahakama ya ICC kuichunguza Burundi

    Teh teh vibalaka na uchu wa madaraka unawachanganyaa kweliiiii....but all in all mapito tu. Tusipoteze uhai wa wananchi kisa ubinafsi....
  6. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mawazo mgando ya wabunge wetu; tuendelee kuchagua wabunge kwa ajenda mahsusi!

    Daaaa sema na wabunge wetu..tz... But sema wanachi hatujitambui .kwani mnachagua mbunge afu Mbunge miaka 5 ...haongei chochote
  7. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania JF Hip-hop frestyle battle

    Acha ni flow Kidume nko slow And i will show Am smart woooooow....
  8. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi nisaidieni hili sijamuelewa Rais

    Achanikae kimyaaaa kwani bhado me mdogo sanaa
  9. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Mmmmmmh
  10. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Angalia kuporomoka kwa shillingi tokea tumepata Uhuru

    Kaaaaaaaaaah yani it means that...hatujawahi pata kiongozi mzalendo kwa taifa hili...kwani tokea mwanzo hatukujenga...so ngum anza jenga mwishoni... Note.... tawala zetu zijitambue kwani hatupendi wananchi na co fair kabisa......against it....cammon...
  11. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Teh teh teh teh the.....acha nifurahi tu.. But naamini tanzania chama tawala na upinzani...wote siwaamini hata kidogo...kwani uzalendo,uadilifu na kutenda haki ni propaganda za mdomoni..but nothing.....na cjaona may be ALLAH...atende muujiza. Sources ya yote ni mifumo ya nchi yetu.hako...
  12. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Masuala ya siasa: Kilichomuondoa Lazaro Nyalandu CCM ni Katiba Mpya

    Daaaaaa cna imani na mwanasiasa.natumai wenye kuifaham siasa vizuri na wamesha participate wamenielewa vizuri....ahsanteni....
  13. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Kwanini nina shauku ya kuacha kazi ya serikali? Hii roho inanifuatilia sana

    Mkuu ..ushauri wangu usiache kazi befofe hujapata mwelekeo au vyanzo vya uhakika kukingiza kipato....tumia mali na akili yako ...vizuri ili ujenge powerful resources...4 income. Then ruksa acha kazi
  14. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Magufuli unacheza na maisha ya wanafunzi hii laana itakutafuna

    Tanganyika ya sasa ..ukiongea ukweli tu..kosaaa. daaa bora nikae kimyaaa...
  15. muhhidinramadhan

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaohoji 50 kwa 50 italipwaje na Barrick, mbona rahisi sana!

    Kirahisi tu....yaaniiiii
Back
Top Bottom