Recent content by muhembano

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hee,kumbe MANJESTA untd wana shukurani eee???
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Liukweli, Lampad alituchelewesha sana yaani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kinabii na vifaa vya kiroho

    Paulo mtume, ameelezea hatari za hao Manabii wa uongo kabisa. Nijuwavyo mimi, Yesu hakuja duniani kuleta uponyaji, wala miujiza;. Hivyo vyote vilishakuwepo tangu enzi za akina Nabii Eliya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Sidhani kama umeelewa alichomaanisha mwananzengo. Anapotaja ngome, anazungumzia eneo maalum lenye nguvu kubwa Kinzani na yenye mizizi iliyo hai. Kama Waitara alikuwaamesha sambaratisha ngome ya CDM, kulikuwa na haja gani ya jeshi la POLISI kuvamia kambi ya Heche na kuharibu mpaka vyombo vya PA????
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makosa ya hayati Rais Magufuli ambayo Rais Samia lazima ayaepuke kama ukoma

    Samahani wadau kwa mwandiko mbayaaaa! nimekumbuka maudhi ya viongozi wetu wa AFRICA.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makosa ya hayati Rais Magufuli ambayo Rais Samia lazima ayaepuke kama ukoma

    Kusema kweli, kila mtu anazo hisia za kumuongoza . Mimi niliumizwa na suala la watoto wale waliopelekwa UDOM kuchukua kozi maalum ili wakasaidie uboreshaji wa masomo ya SAYANSI kwenye shule zetu za kata. Wale watoto hata kama hawakustahil ikama tulivyo danganywa,bado walipoaswa kupoewa muda wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makosa ya hayati Rais Magufuli ambayo Rais Samia lazima ayaepuke kama ukoma

    Toa hoja mkuu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

    Asanteni woootemlionikaribisha, na hata kunirlrkeza pa kukaa na pia utaratibu wa kuishi hapa kijijini. Mubarikiwe!!!!!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

    DP . Mimi ni mgogo wa mjini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

  11. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

    Ni jirani zangu pale mtaani. Hawana shida hao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

  13. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

    Habari zenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naomba kuwasilisha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Yupo mtoto wa ndugu yangu, ni mtaalam wa maabara ila anaongoza hospitali tena ya serikali hapahapa dar.
Back
Top Bottom