Recent content by MUHEKA PANGENDE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

    Angekuwa ndugu yako ingekuwaje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Dereva taxi afikishwa mahakamani kwa kudaiwa kumteka Mo Dewji

    Hivi ni nani hapa anayeambiwa kuwa mtoto ananunuliwa na akaamini.Rais ameshasema watanzania sio wajinga.Acheni maigizo hapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Kakutuma uje umuombee humu?Mfowardie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aishangaa serikali kusitisha ujenzi Bandari Bagamoyo

    ndicho kinachofuata habari ijayo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema afunguka kilichomsibu na lengo la watekaji

    Hatari sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Walimu Wote, Bara na Visiwani

    Kama umeongea ukweli,japo na wewe umetumia jazba,mimi najua mwalimu yake lawama,sitoadhibu mtoto wa mtu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

    Ni nani anayempenda kama serikali yake ilimpiga risasi,siku utakapopigwa wewe hata mkononi tu utajua madhara ya udikteta.Kwenye kumbukumbu yako ni nani aliyekuwa mwizi wa Mali za umma kama si wanaccm ? Mnafiki mkubwa wewe kipindi cha JK mlisema hakuna kama Yeye leo unasema Jpm aongoze milele...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Wanaoshabikia upuuzi huu wa Mollel naomba Mungu kati yao wajeruhiwe kwa risasi hata kwenye kidole kama wataipenda hii nchi yenye udharimu mkubwa.Nashukuru Mungu hakuna ambaye hajawahi kupata madhara na serilikali hii.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je,wanasingida tunanufaika nini na ziara ya Tundu Lissu?

    Umeuliza vitu vya ovyo kuwahi kutokea.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Serikali yafuta mashamba sita ya Mohammed Enterprises

    Hayo yalijulikana kabla bado la Morogoro atanyang'anywa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kiswahili ni kigumu hivi au watu tuna matatizo ya uelewa? Je, neno 'Udhaifu wa Bunge' ni sawa na 'Bunge Dhaifu'? CAG hajasema Bunge dhaifu

    Bunge ni dhaifu kweli na mm natamani waniite kwenye kamati ya maadili jiji la Dodoma maana sijawahi kufika.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma, nitaamini kama ni nyie iwapo mtaandamana kupinga hili...

    Tanzania ya intepyushipu
  13. M

    JamiiForums Tanzania NMB Salary Advance acheni wizi

    Hakuna anayependa kukopa,siyo majibu sahihi sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania WAZO: Kama Boyfriend/Girlfriend anafanya Kazi miongoni mwa hizi, He/She Might Be Cheating On You"

    Kwa hili basi kazi zote ni habari,mi nafundisha wanafunzi wana inye kubwa mno,namshukuru Mungu huwa sijaribiwi 10 years in teaching.
Back
Top Bottom