Korogwe: Serikali yafuta mashamba sita ya Mohammed Enterprises

Korogwe: Serikali yafuta mashamba sita ya Mohammed Enterprises

Weka sababu za kunyanganywa siyo kila mtu ana acess na hilo gazeti..


ila kama mashamba yalikuwa yameendelezwa na yanafanya uzalishaji itakuwa kosa ila kama ni pori tu wapewe watu wayaendeleze!!
 
Someni The Citizen la leo muone hasara ya maamuzi kama haya kwenye korosho.

Kwa kifupi,zuio la kuuza korosho nje limesababisha deficit ya dola 500 milioni kwenye balance of payments kwa mwezi mmoja.
 
MòDewji lazima keshatia gharama kwenye ardhi.
Kwa hiyo Julias Malema kawashauri CCM?!
 
Back
Top Bottom