Recent content by Muhammed Rider

  1. M

    UPANDISHWAJI WA BEI ZA BIDHAA

    Imefikia hatua dumu linauzwa 56500/= na ndoo kubwa 63000/= Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    UPANDISHWAJI WA BEI ZA BIDHAA

    Ndugu zangu habari zenu??. Nahitaji kufahamu kuhusu Hii ishu ya MAFUTA ya kupikia. Maana imekuwa mtihani Sana. Wenzang munanunua Tsh. Ngapi kwa dumu na ltre??? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Kijana kunyoa mustachi ni kujitaftia umasikini uzeeni

    Jamani wafanyabiashara humu kama mpo. Naomba kujua kuhusu bei ya mafuta ya kupikia yani bei imekuwa juu sana inafkia hatua dumu la ltr 20 linauzwa sh 56500/= je wenzangu munanunuaje kwa dumu au ltre Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

    Hilo jengo la wizara ya maji limebomolewa jengo la tanesco nalo ubale mzima halkadhaika pia watakuwacha wwe mwenye vitenki vyako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

    Hao hawalalamikiii uvunjwaji wa eneo la kuuzia mafuta. Kwakuwa wengi wao niwafanyakazi tu walio ajiriwa wanacholilia nikwamba watakosa marupurupu ya parking za malory usiku Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

    Ita depend na uelekeo wko. Kama unatoka town unakuja mlandizi. Weka wese la maana ikiwezekana tembea na reserve tank ama kidumu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

    Mhhhhh Kipindi kile sh. 500/= ilikuwa ikiitwa Jero Leken asa hv jina linatajwa kiufasaha hata kibogoyo hakosei MIA TANOO!!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

    Maili moja kibaha kuna watu wanadai kuwa wao hawatavunjiwa kwakuwa wana hati milik hiyo hoja niyamsingi kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

    Asante baba Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

    Underware msangamkungile jusmitatu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

    Kuna kiumbe anaitwaa. Ndimubanzi Teze Kitumbi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

    Duuh hadi mbavu zinauma Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    RIWAYA: Mifupa 206

    Duh itakuwa mifupa 2020 coming soon Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    RIWAYA: Mifupa 206

    Mkuu hizo arosto inabdi mumlalamikie the banker Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Songwe: David Kafulila agawa vitambulisho 20 kwa kila mtumishi ili waviuze, atakayeshindwa hatihati kufukuzwa kazi

    Very perfect we need brilliant servants Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom