Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

NINA NENO MOJA KWA VIJANA WANGU WASOMI.

Hebu tuelewane kuhusu hili neno sheli na kituo cha mafuta, najua kuna mada ilikuwepo kuhusu hii kadhia ya kuita kila kituo cha mafuta ni sheli.
 
Duh!! Kila mtu ni lazima awe muhanga awamu hii.
FARU JEURI anafurahi sana kuona watu wake wakilia na kufa kwa umasikini.
Huyu baba wa safari hii ni mumiani anayekula nyama za wanawe na kunywa mvinyo wa damu ya watu wa nyumbani kwake
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    16.2 KB · Views: 18
Tusipo boresha na kujenga miundombinu mnalalamika...

Tukijenga na kuboresha miundombinu mnalalamika tena...

Nashindwa kuwaelewa nyie watanzania...
 
Mkuu vituo vyote vilivyopo Dar bado una lalamika shame on you Serikali usijenge barabara kwa sababu vituo vya kuuzia mafuta
 
Wakumbuke wawe na miundo mbinu ya mwendokasi kuepuka kuja kuijenga tena miaka mitano ijayo maana hawa viongozi huwa hawana longterm plan sasa wasijesema hawakujua mji unakua
 
Back
Top Bottom