Ukifikiria baadhi ya matendo yao,mfano kukimbia na sanduku la kura,kumwagia Watu tindikali,kuamuru afisa anayepokea fomu za mgombea kujificha mpaka muda wa kupokea unapita,kupiga mabomu kwenye mkutano wa siasa nk unaishia kuconclude kuwa hawa wanafanya organized crimes. Wanaweza kutekeleza haya...