Amri kumi za Mafia

Amri kumi za Mafia

Panya Road wanaweza kuwa Mafia wazuri sana lakini naona hakuna mtu wa kuwa Organize,kunatakiwa aweko kiongozi anaewaongoza,kuwepo na mchango wa kiasi fulani cha pesa kwa kila mwanachama analipia kikundi kwa kila uhalifu anaofanya...

Mfano tuseme mmoja wa mwanachama wa "Panya Road" amefanikiwa na kupora milioni moja kutoka kwa Fala fulani,huyo mwanachama anatakiwa alipe pasenti fulaya ya alichochuma kwa Kikundi,

kwa njia hiyo kikundi kunakuwa tajiri na kuweza kufika wakati kikawa na makampuni na mawakili wake,nk,tetesi zinasema kuwa Mafia ndio waliomuua Raisi wa Marekani John F Kennedy

Marekani kuna "Mafia" kama wahalifu waliojipanga "Organized Crime",Japan Kuna "Yakuza",..hivi vikundi ni matajiri sana wana makampuni yao nk,lakini mambo mengi ya makampuni yao yanapatika kihalifu,wanamiliki vitu kama Casinos,Disco teque,na sehemu nyingi za starehe
Inaelekea una uelewa wa kutosha juu ya vikundi hivi.Hivi James Hadley Chase aliwahi kuandika novel au kitabu chochote juu ya mafia?
 
FISIEM vp cyo Mafia?
Ukifikiria baadhi ya matendo yao,mfano kukimbia na sanduku la kura,kumwagia Watu tindikali,kuamuru afisa anayepokea fomu za mgombea kujificha mpaka muda wa kupokea unapita,kupiga mabomu kwenye mkutano wa siasa nk unaishia kuconclude kuwa hawa wanafanya organized crimes. Wanaweza kutekeleza haya kupitia idara nyingine na wao mikono yao inabaki 'safi'.
 
I cant believe this,mzee ujanielewa tu wewe,nnachosema hamna documented mafia laws,contracts,constitutions,regulations, etc.
Yani ulidhani sijui kuhusu how mafia works,mzee humu nlishatakaga hadi kuandika a very huge post but niliweka thred moja nikajua watu hawajui nikaacha wayback.

Kwa msaada tu walio interested this is the organizational structure of Mafia.
1. Capo di tutto capi (the "Boss of All Bosses")
2. Capo di Capi Re (a title of respect given to a senior or retired member, equivalent to being a member emeritus, literally, "King Boss of Bosses")
3. Capo Crimine ("Crime Boss", known as a Don - the head of a crime family)
4. Capo Bastone ("Club Head", known as the "Underboss" is second in command to the Capo Crimine)
5. Consigliere(an advisor)6. Caporegime("Regime head", a captain who commands a "crew" of around twenty or more Sgarriste or "soldiers")
7. Sgarrista or Soldato ("Soldier", made members of the Mafia who serve primarily as foot soldiers)
8. Picciotto ("Little man", a low ranking member who serves as an "enforcer")
9. Giovane D'Onore (an associate member, usually someone not of Italian ancestry)

Italian Mafia structure Capofamiglia -
Capofamiglia - (Don/Boss)
Consigliere - (Counselor/Advisor/Right-hand man)
Sotto Capo - (Underboss/Second-in-command)
Capodecina - (Captain/Capo)
Uomini D'onore - ("Men of Honor"/Made men/Soldiers)
Njoo tutengeneze kikund cha kimafia mkuu ... Mi niwe bosi. .
 
Inaelekea una uelewa wa kutosha juu ya vikundi hivi.Hivi James Hadley Chase aliwahi kuandika novel au kitabu chochote juu ya mafia?
Ninao mkuu "in real life" sio kwa kusoma kwenye vitabu..hapa Tanzania wako hawa wanaoitwa wauza Dawa za kulevya,hawa jamaa serikali imeweza kuwanyanyasa kwasababu hawako "Organise" kama wangelikuwa Organised,..moto ungeliwaka...

Hawa jamaa wauza dawa za kulevya kila mtu anafanya kazi kivyake,Mkuu hulka ya Wafrika hatuwezi kujiorganise na ndio maana tuna feli kwa kila kitu,kuanzia kwenye Serikali mpaka kwenye Uhalifu...😀
 
Back
Top Bottom