Recent content by mugoda mukali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya uduni wa maisha na kuipigia kura CCM?

    Kama kweli ni msomi kiasi hicho basi elimu wakati mwingine haina faida kwa jamii.
  2. M

    JamiiForums Tanzania LHRC, Haki ni ya kupata Habari au LIVE COVAREGE Bungeni?

    Tulikuwa tumepiga hatua kubwa katika haki ya kupata habari na uwazi wa bunge, lakini sasa tumeamua kurudi nyuma na wengine wanashangilia jambo hili. Tutajuaje kama wapinzani kazi yao ni kufanya fujo tu bungeni kama hatuwaoni? Serikali inaogopa kupata ushahidi wa wafanya vurugu? Sasa nahisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    W Woga wa serikali utatuumiza.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Kweli watu tunatofautiana! Yaani hutaki kujua kinachojadiliwa na wawakilishi wako? Hata serikali yako hutaki kujua ina mipango gani kwa nchi yako? Wabunge wanaosinzia na watoro tunawaona kwenye kioo. Gharama haikwepeki kwa jambo zuri.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Hivi kweli unaamini sababu ya kutoonesha moja kwa moja bunge kwa baadhi ya mijadala ni kubana matumizi? Si ajabu wakapunguza hata siku za bunge ili kubana matumizi. Serikali ningeielewa kama wangefuta posho za kukaa za wabunge kwanza lakini watuachie tuone wawakilishi wetu wanafanya nini. Kuuza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Uhuru wa kupata habari ni haki ya msingi siyo fadhila. Kama wewe hupendi kuona isiwe sababu ya kumnyima haki hiyo yule anayeihitaji. Tutajuaje kama bunge ni dhaifu au imara kama hatuoni? Kipindi kilichorekodiwa kitakuwa kimehaririwa na mhariri ataonesha kile anachotaka yeye tukione. Tutamkumbuka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

    Unashindwa kutofautisha milioni, bilioni na Trilioni halafu unataka sisi tutumie akili kidogo tu, acha dharau. Makusanyo ya TRA, ni bilioni 800 na si milioni 800 kama unavyosema wewe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Tunakwepa Kodi na Tutazidi Kukwepa Kodi

    Kumbuka kua = Kumbuka kuwa Kodi isipokuwa halisi hailipiki na hivyo kufanya watu kujitahidi kukwepa lakini pia kodi isiyolipika ni mtaji wa rushwa kwa watoza kodi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Acha dharau, kwa maoni yako haya tu inaonesha si wote wanaohitimu UDSM wanatoka na elimu toshelevu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Saidia basi kumuelimisha huyo mwenzio anayelalamika hapa kuwa mnadharauliwa kwenye usaili. Je, hakuna wasaili waliosoma Open university?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Kukubali kukosea si vibaya japo kosa la Dr. Slaa naliona dogo lakini lipo. Kwa msimamo wake toka mwanzo ni kuwa hakumkubali Lowassa kuwa anafaa kugombea kupitia CHADEMA, hakutakiwa kukubali kumpeleka kwa Mbowe. Angemwacha Mbowe ndo apelekewe mtu wake na Gwajima. Hivyo Slaa amekuwa mwezeshaji kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Hilo jambazi lililokumbatiwa na CDM, hata serikali ya 'Hapa kazi tu' inashindwa kulikamata? Huyu mtu adhabu yake ni kuzomewa tu? Tunataka akamatwe afikishwe kwenye vyombo vya sheria vinginevyo acheni kelele mnatutia hasira kuwa tunaibiwa, na wezi mnawaona(kama mnavyodai) lakini hamchukui hatua -...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Iambie serikali yako iruhusu mikutano ili tuone likitokea hilo usemalo, lakini najua watawala wanaamini tofauti na uaminivyo wewe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Woga huzaa udikteta.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Ukomo wa Uongozi Inadumaza Afrika

    Huna haja ya kulaumu wazungu, Katiba za kuweka ukomo wa uongozi tunatunga wenyewe. Tatizo baada ya kutunga, viongozi walewale waliotunga, muda ukikaribia kwisha wanaanza kushawishi kubadili Katiba ili kuondoa ukomo wa Uongozi. Hatuna uwezo wa kuheshimu Katiba zetu. Marekani wana ukomo na nchi...
Back
Top Bottom