Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

Hakuwahi kutomia TBC kuonyesha maendeleo ya jimboni kwake... Alikuwa akitumia ITV mara zote...

TBC na StarTV mlimrushia vipindi vyake baada ya jamaa kufariki...
 
Huko jimboni watakyonesha bure? Kwa taarifa tu Fikikunjombe alioneshwa na ITV sio TBC wao wanaonesha live mikutano ya CCM na harusi.
 
Kuna watu hamnazo, anaweza kulinganisha TZ na UK!? Nchi yenye TV stations zaidi ya 200! Isha hapa sio TBC tu, hata private TV stations nazo pia zimezuiwa.....! Hii nayo ni haki!?

Nahisi kama hatujamuelewa aliyeleta mada! Sidhani kama alimaanisha Tanzania tuwe kama UK, nadhani alitoa mfano wa nchi ambayo imeendelea ili kuweka msisitizo kwenye point kwamba -- ili na sisi tuweze kupiga hatua ni lazima kuwe na 'policies' and 'regulations'.

Na tukumbuke hawajakataza bunge kuoneshwa kabisa, litarekodiwa na kuoneshwa baadae, to me sioni shida hapo. Tutakuwa tumepunguza gharama na pia ujumbe utafika kwa wananchi

Tatizo tumefocus sana kwenye u-ccm na ukawa, for once tufikirie outside the box basi
 
Kama kuna redio acha kutoa comments zako humu ndani, achane unazi usio na maana. Nini maana ya utandawazi kwa Watanzania?
watu wanapenda kuuza sura,narudia tena watu wanapenda kuuza sura bungeni hasa upinzani,hatujaenda pale kwa ajili ya live coverage nashangaa watu badala ya kutazama mambo ya msingi eti wagombania live coverage sio lazima kuona hata kuskia tu inawezekana
 
NAPATA KUELEWA WABUNGE HAWAJUI WANANCHI WAO WALIOWACHANGUA WANATAKA NINI ,NA NDO MAANA WANAPAMBANA KWA NGUVU ZOTE KUONEKANA TBC LKN LAKINI HAWAPAMBANI TBC HIYO HIYO KUWAONYESHA WAKIFANYA MIRADI YA MAENDELEO MAJIMBONI KWAO,
NAWAPA MFANO WA MTU ALITEFANIKIWA SANA JIMBONI

MAREHEMU LUNJOMBE ALIPAMBANA SANA TBC KUMUONYESHA AKISHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KUPATA HESHIMA KUBWA KURIKO WANATAKA KUONEKANA TBC NA KUISHI DR WAKIFANYA MAMBO YAO,
Akili ndogo tatizo,, et waoneshwe majimboni wakati tunataka watete maslahi yetu tuone kwel wakitetea......
 
NAPATA KUELEWA WABUNGE HAWAJUI WANANCHI WAO WALIOWACHANGUA WANATAKA NINI ,NA NDO MAANA WANAPAMBANA KWA NGUVU ZOTE KUONEKANA TBC LKN LAKINI HAWAPAMBANI TBC HIYO HIYO KUWAONYESHA WAKIFANYA MIRADI YA MAENDELEO MAJIMBONI KWAO,
NAWAPA MFANO WA MTU ALITEFANIKIWA SANA JIMBONI

MAREHEMU LUNJOMBE ALIPAMBANA SANA TBC KUMUONYESHA AKISHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE NA KUPATA HESHIMA KUBWA KURIKO WANATAKA KUONEKANA TBC NA KUISHI DR WAKIFANYA MAMBO YAO,
Usitukane wananchi walio wachagua kuwa hawana akili tunajua tunachokifanya tunayo haki ya kusikia wanachokiongea.
 
Mleta mada elewa kuwa kila jamii na mahitaji yake,wakati wamisri wanalala barabarani kwa kupinga bei ya kupanda
Kkwa mkate sidhani kama hilo linaweza kkutokea Tanzania, wakat wafaransa wanatishia kuingia mtaani kuaandamana kupinga waziri mmoja kumpandisha mwanae kwenye ndege ya serikali wakidai naye alipe nauli kama sisi na wakipinga matumizi mabaya ya madaraka, sidhani kama hilo linaweza kutokea TZ, na kesho yake waziri akaenda kulipa ili kunusuru ajira yake.kuilinganisha TZ na nchi za ulaya nahisi uelewa wako ni finyu.
 
Badala ya kujadili ukosefu wa maji kwenye Majimbo Yao wanataka kuuza sura runingani!!! Bora
tusione kabisa hili Bunge. Waziri Nape katoa Maelezo ya Serikali juu ya sababu za kutorusha live. Bado hamuelewi tu???
kutumia bilioni 4 kutangaza sura za wabunge wakati watoto wanakaa chini na Akina mama wanajifungulia sakafuni ni
busara kweli????????????????

Uhuru wa kupata habari ni haki ya msingi siyo fadhila. Kama wewe hupendi kuona isiwe sababu ya kumnyima haki hiyo yule anayeihitaji. Tutajuaje kama bunge ni dhaifu au imara kama hatuoni? Kipindi kilichorekodiwa kitakuwa kimehaririwa na mhariri ataonesha kile anachotaka yeye tukione. Tutamkumbuka Kikwete mapema sana, hii inasikitisha.
 
Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono.

Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui?

Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct.

Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament.

Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
Mkuu wewe ni mtu wa ajabu kweli. Kama ulikuwa hujui nataka nikujuze kwamba mabunge mengi duniani na Tanzania wabunge makini huwa wana washauri wa mambo ambao wanafuatilia mijadala kwa karibu na kutuma comments na ushauri kwa njia za sms, emils na zaidi ambazo wabunge hao huunganisha moja kwa moja na hoja ndani ya bunge. Bungeni sio magereza wananchi wanapaswa kuona na kusikiliza mijadala. Nchi ya kipumbavu na wapumbavu wake.
 
Kuna kitu tunamiss hapa!! Kama kweli wananchi wengi wanaangalia bunge! It means coverage ni kubwa!! na ni fursa kwa TV station kuingia! Matangazo yatalipa! TV binafsi ziombe fursa hiyo!! Then tupime!! other kama ndio kodi za wananchi zinatumika tu evaluate tija yake!! Kumbukeni tunabana matumizi kipindi ili ku finance matumizi yeny tija kwa maendeleo yetu sote!!
Haya ndiyo mawazo nikiyategemea kutoka JF ambako nilidhani kumejaa ma GT. Watu badala ya kujibu hoja wanatukana. Mimi kama mtoa mada najua si wote wataungana nami ila nitafurahi sana wale wanaoungana na nami na wasioungana nami watoe hoja zitakazotusaidia. Tuelewa kuwa hii ni moja ya platform na wabunge wanapita hapa kama tutaunga mkono kila kitu kwasababu za kiitikadi rusishangae kuona hakuna mabadilkko yeyote bungeni. Wabunge wakipita hapa qakiona tunabiahana kwa point wqtacha ujinga wa wao kupeana mipasho maana wataona tupo baadhi ya raia ni serious. Kama mtu hujazoea kujibu hoja kiungwana si lazima uandkke bali jifunze kuroka kwa wwnyebuwwzo wa kujibu hoja kifasaha maana si wote wamebarikiwa. Kwa jinsi hii tutasaidiana kuelimishana na kuketa mawndeleo kwa nchi yetu. Najua sisi sote tunaitakia mwma nchi yetu bila kujali itikadi zetu lakini penye ukweli wakati woowote tuweke itikadi pembeni
 
Mkuu wewe ni mtu wa ajabu kweli. Kama ulikuwa hujui nataka nikujuze kwamba mabunge mengi duniani na Tanzania wabunge makini huwa wana washauri wa mambo ambao wanafuatilia mijadala kwa karibu na kutuma comments na ushauri kwa njia za sms, emils na zaidi ambazo wabunge hao huunganisha moja kwa moja na hoja ndani ya bunge. Bungeni sio magereza wananchi wanapaswa kuona na kusikiliza mijadala. Nchi ya kipumbavu na wapumbavu wake.
Dah kaka mbona sijaelewa ulikia na maana gani na unawezaji kubrelate comment yako na thread yangu?
 
Back
Top Bottom