Recent content by Mugishagwe

 1. M

  Dk John Magoti anakifilisi chuo cha Nyerere Kigamboni

  Magoti ambaye ni Dr.Magoti siyo ?
 2. M

  Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept?

  Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni kazini hajui kazi lakini dharau kubwa na kujidai yeye mtoto wa Anna Kilango.Baada ya kuingia kwa...
 3. M

  Jugdements of amatus liyumba

  JUGDEMENTS OF AMATUS LIYUMBA IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU CRIMINAL CASE NO 105 OF 2009 REPUBLIC VERSUS AMATUS JOACHIM LIYUMBA JUDGMENT OF THE COURT BEFORE : - L.M. MLACHA, PRM B.B. MWINGWA, SRM AMATUS JOACHIM LIYUMBA, the accused...
 4. M

  Spika Sitta Kung'olewa?

  Mkuu Zitto umesema mwaka 2015 na Lowasa na Sitta bado tuwategemee kwenye hiyo new Political landscape ?
 5. M

  Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

  Link hiyo http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania-hq&TITLE=tanzania
 6. M

  Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

  Tunaomba links za wale ambao watakuwa LIVE online nasi tuungane na watanzania jamani .
 7. M

  DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

  This was the point I wanted to raise here . Sikuleta kwa ajili ya kumjua mtu bali the rule of law na haki za mkuu wa mgambo ni zipi ?
 8. M

  Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

  wasi wasi wangu ni kwamba sasa mkakati ndiyo huo maana wanaweza wakamwacha rais apokee simu kitu ambacho sijui , na umeme wameanza kuwakatatisha tamaa watu . Na ikitokea watu wakajanza kwenye bar wakajua basi eneo hilo linakuwa giza zaidi .
 9. M

  Hii ya DC na kitoweo imekaaje jamani?

  Kaka as long as wewe ni CCM hakika hata vyeti hawaangalii na hakuna mamlaka inaweza kukugusa . Unamkumbuka Chitalilo na vyeti vya ku foji ? Kesi iliishia wapi ? Na hao mawaziri je kaka ?
 10. M

  DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

  Habari kutoka ndani ya Jiji zinasema huyu mkuu wa Mgambo hajawahi kuwa na kosa na ni mwanajeshi mstaafu . Kosa lake ambalo jamaa yenu kaona ni kosa ni Mkuu wa mgambo kuomba barua ya kuitwa mkutanoni mnazi mmoja .Yeye amehoji kuitwa kwa taarifa ya maneno bila ya maandishi .Je bado Barama anataka...
 11. M

  Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

  Jamani leo JK anapanda Kilingeni kupima kama anafaa ama hafai .Maana ameona CCM kwisha habari. Taarifa ni kwamba maeno mengi ya Jiji hayana umeme. Je watarudisha wakati akiwa hewani? Natafuta habari za mikoani pia kujua kama Umeme una shida kama Dar. Ila naambiwa Arusha ni giza pia na mida...
 12. M

  DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

  Umakini ndiyo huu? Kumfukuza pale mkutanoni na kusema Mkurugenzi naamuru afukuzwe kazi huyu na toka hapa nenda huko nje ?
 13. M

  Pengo: Nchi imeoza!

  Chukua tamo tafadhali na zingine baadaye . Hivyo hiyo hata kama hawataki wanajianya kujenga hoja .Baho baho
 14. M

  DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

  Katika hali ya kushangaza mkuu wa Mgambo wa Ilala wakiwa katika mkutano pale mnazi mmoja muda mfupi uliopita amemfokea na kumfuza nje Mkuu wa Mgambo wa Ilala kwa madai kwamba mkuu huyo alikataa kuitika wito wa mkuano kwa maneno akitaka maandiko ya kuonyesha kuna mkutano na DC na Mkurugenzi wa...
 15. M

  Madereva wa mikoani wasitisha mgomo wao!

  JK alisema atakula nao na amesha anza sasa .Kuna shida hapa .Miaka 30 kwa ajali ya gari si sahihi.Dereva wa Mwakyembe hivi kesha fungwa ? Yule wa Chacha Wangwe kafungwa miaka mingapi ?Hukumu hii ina siasa ndani yake na uchaguzi huu kuna matatizo makubwa sana .
Top Bottom