Recent content by Muganyizi Jackson

  1. M

    JamiiForums Tanzania THE NATIONAL DEVELOPMENT FORUM: Tamko la Kumpongeza Rais kwa utendaji kazi wake

    Jamani mtu anaitwa Ibilisi,
  2. M

    JamiiForums Tanzania THE NATIONAL DEVELOPMENT FORUM: Tamko la Kumpongeza Rais kwa utendaji kazi wake

    JUKWAA LA MAENDELEO TANZANIA (NATIONAL DEVELOPMENT FORUM) Tamko la Kumpongeza Rais kwa utendaji kazi wake. Ndugu wanahabari awali ya yote nawasalimu!! Ndugu wanahabari, Leo hii tumejitokeza tena mbele yenu tukiwa na lengo la kutoa maoni yetu sisi kama Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi malinyi atoa ajira kwa wahitimu zaidi ya 35 wa vyuo vikuu kupitia kilimo

    Soko la mpunga ni kubwa sana hapa nchini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi malinyi atoa ajira kwa wahitimu zaidi ya 35 wa vyuo vikuu kupitia kilimo

    *MKURUGENZI MALINYI ATOA AJIRA KWA WAHITIMU ZAIDI YA 35 WA VYUO VIKUU KUPITIA KILIMO* Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya MALINYI ndugu Marcelin Raphael Ndimbwa ametekeleza ahadi yake na kuunga mkono maagizo ya serikali kuondoa umasikini haswa kwa vijana kwa kutoa ajira kwa vijana kupitia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Malinyi wajiunga kwenye vikundi ili kupatiwa mbegu bure

    Vijana njoo huku Malinyi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Malinyi wajiunga kwenye vikundi ili kupatiwa mbegu bure

    Wananchi wa halmashauri ya Malinyi wameendelea kujiunga kwenye vikundi vya watu 150 ikiwa ni sehemu ya kuitikia wito wa Mkuu wa wilaya hiyo uliowata kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupatiwa huduma za ugani na mbegu za mpunga bure. Pia mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi ndugu Ndimbwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana na DC na DED Malinyi

    Sio sahihi, hapo ni break point Posta, tulitafuta sehemu ya kukutania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi SUA watua Malinyi

    Kundi la wanafunzi kutoka chuo cha SUA wamekutana na mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, vijana hao wamejitolea kutoa huduma za ugani na utalaam wa kilimo kwa Wakulima ndani ya wilaya ya Malinyi ni baada ya kufurahishwa na kazi za uongozi wa halmashauri hiyo. Vijana hao wasomi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana na DC na DED Malinyi

    Mkuu wa wilaya Majula kasika , mkurugenzi Marcelin Ndimbwa na Engineer, Maimuna makutika wa wilaya ya Malinyi wakutana na wahitimu wa vyuo vikuu Dar es Salaam Leo 13 .8.2016 Katika kuhakikisha vijana wanajiari kupitia kilimo, mkurugenzi na mkuu wa wilaya ya Malinyi iliyopo mkoani Morogoro...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Malinyi na kilimo cha Mpunga

    Halmashauri ya wilaya ya Malinyi, chini ya mkurugenzi wake na mkuu wa wilaya hiyo wamedhamiria kuhakikisha wilaya yao inakuwa kitovu cha kilimo cha mpunga, tayari halmashauri hiyo imeanza kusimamia wakulima kwenye scheme iliyopo kata ya Itete wilayani humo. Pia halmashauri imeweza kutoa mbegu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Malinyi : Mapinduzi ya kijani

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, Mheshimiwa Ndimbwa (DED) akifanya ukaguzi wa mashamba ya wakulima yaliyopo kijiji cha Itete wilaya humo. Halmashauri imeanza kutoa mbegu bure kwa wanakijiji na kuwalimia bure, lengo ni kuwawezesha wananchi na kuupiga vita umaskini kwa vitendo. Mkurugenzi wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Magufuli anazidi kudidimiza uchumi

    Hii ndio hali halisi ya Malinyi kwa DED Maselini R. Ndimbwa... Hon Mwigulu Nchemba waziri wa zamani wa kilimo na umwagiliaji alituachia usemi ambao napenda nianze kwa kumnukuu....... "Kama mnataka mali mtaipata shambani DED - Ndimbwa yeye tayari amewasili katika safari yake ya kuifuata Mali...
Back
Top Bottom