Muganyizi Jackson
Member
- Aug 11, 2016
- 13
- 3
Kundi la wanafunzi kutoka chuo cha SUA wamekutana na mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, vijana hao wamejitolea kutoa huduma za ugani na utalaam wa kilimo kwa Wakulima ndani ya wilaya ya Malinyi ni baada ya kufurahishwa na kazi za uongozi wa halmashauri hiyo.
Vijana hao wasomi wamethibitshia halmashauri kuwa wapo tayari kufanya kazi na halmashauri, kwa upande wa mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi amefurahishwa mno na moyo wa kizalendo wa wanafunzi wa chuo cha SUA na kuwahidi ushirikiano kutoka kwenye ofisi yake, pia mkuu wa wilaya hiyo amewataka vijana wasomi kuwenda Malinyi kujishughulisha na kilimo kwani tayari halmashauri imeweka utaratibu maalum wa kudhibiti uingizwaji holelala wa mifugo mashambani na imepanga kuwaajili askari mgambo wa Kulinda mashamba ya wakulima na imeweka adabu kali kwa mfugaji atakayeingiza mifugo yake mashambani.