Recent content by Mugaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis Assalaam Alaykum. Binti yangu ana miaka 12 sasa ila tatizo la kujikojolea kitandani linamsumbua sana, tumejaribu hospital na tiba za asili bila mafanikio. Naomba muongozo wako. Shukrani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

    Nahitaji desktop computer kwa ajili ya watoto.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Habari yako CPA OKW BOBAN SUNZU, vipi financial year hii vitabu vya Ki Aziz vinasomaje huko?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Hii ndio dawa ya uhakika. Mimi binafsi huwa nakunywa kahawa ile ya uswazi hapo hilo tatizo litakuwa historia Amforeal
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    1. Arusha 2. Manyara 3. Kilimanjaro 4. Mara 5. Simiyu 6. Shinyanga 7. Kigoma 8. Tabora 9. Katavi 10. Singida 11. Dodoma 12. Morogoro 13. Pwani 14. Dar es Salaam 15. Mwanza 16. Lindi 17. Mtwara 18. Kagera 19. Geita. Bado sijafika: 1. Njombe 2. Iringa 3. Tanga 4. Rukwa 5. Ruvuma 6. Mbeya Na mikoa...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Hili ndio jibu sahihi Zeemadeit
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

    Katalunya a.k.a Katalax
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa dawa ya kuua na kufukuza popo

    Umepiga fisher boards? Nilikuwa na hili tatizo ila niliamua kupiga Fisher boards likaisha lakini siku ya kupiga Fisher boards fundi alipanda juu kuwafukuza.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Me - Mwanza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ahsante sana kaka. Shukrani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl.RCT natafuta product inaitwa "Similac Human Milk Fortifier", please assist.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Azania Sec. School Best Student (Mathematics) Award

    Mzee umefukua uzi wa 2013 ha ha ha [emoji23]. "In the having of peace Azania stand at ease, to waken, strengthen, feeds our hungry minds " .....You are known far and wide.....we will never forget you" ....lilikuwa bonge la school anthem.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mpanda, Katavi: Tetemeko latikisa usiku wa kuamkia leo Jumatatu

    Hii kitu imepiga na Tabora mjini
Back
Top Bottom