Madereva wa Tax wanaofanyia kazi Airport ya Dodoma wameanzisha fitna ya kuwazuia madereva wanaofanya Bolt kuingia kubeba abiria kwenye uwanja huo wa ndege.
Wanafanya fitina wao lakini pia wanashirikiana na baadhi ya watu wa TRA ambapo bolt akiingia wanamkamata na kuamuru kwenda ofisini kukagua...
Wakuu kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu NSSF, ni kwamba kama wewe ni mfanyakazi na mkataba wa kazi umeisha sehemu ulipokuwa unafanyia kazi, ukaona mazingira ya kazi si mazuri, ukaamua kutosaini mkataba mwingine, hapo inakuwa imekula upande wako, ukienda NSSF hawakulipi hata senti yako...
No kwa sababu IPO siku watataka kututia dole la kati sasaaa...maana Washatuona mabwege hatuwez kuishi bila wao
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Acha Ujuha wewe.....Uganda wakat wananyimwa misaada na wamarekani kisa Uganda kukataza Ushoga,,,Ushoga nao ni Demokrasia????
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Kama vipi Tuvunje tu nao Uhusiano na tuwatimue na Symbion yao...bora tuwape tenda Wajapan atleast wanaeleweka
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Uganda waliambiwa hawatapewa misaada hiyo mpaka watambue Ushoga ndo wapewe MCC Je Uganda nayo ni Zanzibar
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Nafuu tufanye Ushirikiano na Wajapani kuliko hawa watu wa mataifa ya Marekani na washirika wake...hawa jamaa hawana ni. Njema na sisi hata sikumoja....
Mtoa Post Wivu na Chuki binafsi ndo zinakusumbua...We ulitaka Akutaje wewe ndo ufurahi ama....
Kusema rafiki yangu Fulani...ni kuonesha kua hamtaji mtu au kumzungumzia kwa nia mbaya...na kwamba hawana tofauti yoyote but wanaweza kua wanakinzana tu kwenye hoja....sasa wewe kwa akili zako za...
Mwezi March mwaka huu 2015,Taarifa ilitoka ya kupotea kwa Wakili Philbert Gwagilo ambaye ni mwenyeji wa Dodoma,Ambapo kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hiyo kilieleza kua Gwagilo alipotea katika mazingira ya kutatanisha,huku kukiwa hakuna mwenye taarifa kuhusu wapi Ndugu yetu Philbert Gwagilo...
Habari za majukum wana JF, Nimesikia kuna taasis inaitwa IPSOS ambayo ni taasis inayofanya research na kutoa majibu kuhusu usikivu na idadi ya wasikilizaji pamoja na ubora wa Vipindi na watangazaj wa Radio na TV.
Clouds Media naona wanajinadi wao ndio wameonekana kua bora kuliko vipindi vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.