GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Ni Mtangazaji Ambaye Nimekuwa Nikikukubali Sana Kama Siyo Mno Ila Taratibu Siku Hizi Unaanza Kunipa UKAKASI WA KIMANTIKI ULIOTUKUKA. Nahisi Pengine Ni Kama Vile Umeanza Kulewa SIFA au Labda Una AGENDA Yako Binafsi.
Dotto Emanuel Bulendu Hivi Ni Kwanini Wewe Kila Unapomtaja Tu Mtu Lazima Useme Ni RAFIKI YAKO? Kwa Mfano Utasikika Ukisema Nanukuu " Nilipokutana Kule Zanzibar Na Rafiki Yangu......Mara Tena Unasema Nilipokuwa Pale Dar Nilikutana Na Rafiki Yangu Kubenea au Utasema Nilipokuwa Kule Arusha Nilikutana Na Rafiki Yangu Ole Sendeka....Mara Tena Nilipokuwa Kule Uingereza BBC Nilikutana Na Rafiki Yangu Dada Yangu Zuhura Yunus ". Hivi Dotto Emanuel Bulendu Huwezi Tu Kuwataja Watu Mpaka Useme Ni MARAFIKI ZAKO? Je Una MARAFIKI Wangapi?
Nakushauri Siku Nyingine Kabla Hujaanza Kutangaza Ukiwa Katika Kipindi Anza Kwanza Kututajia MARAFIKI Zako Wote Ulionao Kisha Ukishamaliza Unaweza Ukaendelea Na Kipindi. Siyo SIRI Kama Watu WANAOGOPA Kukupa Huu UKWELI Mimi NAKUPA TENA BILA UWOGA au KUKUONEA AIBU Ukweli Ni Kwamba Hii Kitu INABOA Na Inakupunguzia Credits Fulani Za KIUTANGAZAJI Na Unamtia Aibu Pia Mwalimu Wetu Kipenzi Wa UTANGAZAJI Robert Mkosamali Ambaye HAKUTUFUNDISHA Hivyo Pale SAUT Hall Room Number 9 Na Kule Studio.
Nakuomba BADILIKA Upesi Na Haraka Sana Comrade Wangu Kwani Naogopa Kuna Siku Unaweza Ukasema " Ulikutana Na Rafiki Yako SHETANI au JINI " Kisha Ndiyo Ukatuchanganya Kabisa! Mwisho Kuwa Makini Sana Kwa Hayo Makoti Yako Ya SUTI Unayoyavaa Hapo Kipindini Star Tv Kwani Mengi Huwa YANAKUVAA Badala Ya Wewe KUYAVAA Na Huwa Yanakaa Upande Upande. Vipi Hapo Star Tv Hakuna Watu Wanaowaandaa KIMUONEKANO? Kwenye TV Huwa Hatutaki UPUUZI ULIOTUKUKA Wa Namna Hiyo.
Nisamehe Kwa Haya Kaka Yangu Ila Yapokee Tu Kwa Mikono Miwili Kwani Yawezekana Mimi Niliyekusema Hapa Ndiyo Nikawa Nakupenda Na Nakutakia Mafanikio Mema Kuliko Hao Ambao Wanakusifu Kila Siku Lakini Hawakukosoi. Otherwise Wewe Ni Mmoja Wa Watangazaji Na Waandishi Bora Kabisa Wa Habari NINAOWAHESHIMU Na KUWAPENDA Mno Hapa Tanzania Ukiwa Na Akina Dr. Ayub Rioba, Deudatis Balile, Richard Mghamba Na Paul Mabuga.
Akhsante Na Nawasilisha.........