Recent content by mufti wa kaole

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

    Faculty inayolipa kwa sasa nchini. Narudia tena,faculty inayolipa kwa sasa nchini ni KUJIAJIRI. Period.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muhubiri asema wanawake ''ni chanzo cha uovu'' wote duniani

    Hapana kwa kweli Mama angu si chanzo cha uovu wote duniani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ya wasichana kwa advance Dar na Pwani

    Wakuu anayefahamu shule nzuri kwa kidato cha tano na sita. kwa michepuo ya sanaa. Shule iwe DAR au Pwani. Ikiwa ya wasichana tupu itafaa zaidi. Ada iwe kati ya 1 000 000/- mpaka 3 000 000/- Natanguliza shukrani.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama ashikiliwa kwa kosa la kumuonyesha mtoto wake sehehu zake za siri

    Subhanallah!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Ananishangaza kwa kweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Sasa kama unakubali yote yapo na watu hao hao wa pwani wanayafanya huo uvivu unatokea wapi? Au uvivu kwako una maana gani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Hivi ni lini mara ya mwisho kutangazwa pwani imekumbwa na baa la njaa? Vipi kuhusu kilimo cha mananasi chalinze na kiwangwa unazungumziaje Pia usisahau pwani kuna bahari kuna watu hata kushika jembe hawajui wanaendesha maisha kwa uvuvi tu na wana make pesa za kutosha kuliko hata hao wakulima.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii Betting Industry wanatuchezea!

    Pole sana kwa kuwanufaisha wajanja. Endelea kubashiri kamwe usiache hipo siku utakua bakhresa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    25(2^logx)=x Changamsha ubongo kwa kusolve for x.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule

    Daah kitambo mambo ya Fridel craft alkylation na Fridel craft acylation.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ina viongozi maprofesa wengi zaidi duniani?

    :D:D:D:D
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Kuna wajinga wataamini taarifa hii ya uongo na uzushi.
Back
Top Bottom