Recent content by muftee MD

  1. muftee MD

    GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Newala Mjini tunaenda na Mtima
  2. muftee MD

    Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  3. muftee MD

    Kanuni zitaamua Mchezaji bora (MVP) Ligi kuu

    Hii imeandaliwa kimakosa au?? Nbc ina mechi za mtoano??
  4. muftee MD

    Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Mfumo wetu wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana. Vijana wetu hawajui kabisa starehe ni nini??
  5. muftee MD

    Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Kombe jingine la makolo hili
  6. muftee MD

    Namkubali sana Wakili msomi Mwabukusi lakini...

    Lakini pamoja na yote haya chadema hawajatoa tamko either la kukanusha kuwa hawajaenda polisi kulalamika nyimbo yao kupigwa kwenye mkutano wa mwabukusi au kuunga mkono na kulipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatua za haraka. The rest is all about politics kila mmoja anatafuta mtaji aonekane...
  7. muftee MD

    Ujirani mwingine ni kero tupu

    Mwambie ukweli sio kulalamika peke yako. Otherwise akiharibu kingine mdai matengenezo
  8. muftee MD

    Huu sio ubinadamu kabisa

    ulipaswa kuifuatilia kimyakimya ila kuileta hapa kunafanya mamlaka kutolea macho jambo lako hivyo kuwa gumu kusamehewa.
  9. muftee MD

    Job vacancies muftee logistics

    APPLICATION CLOSED.
Back
Top Bottom