Recent content by Mufiyakicheko

  1. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Kimya cha upinzani, kulikoni? Au wamekubali matokeo?

    waganga njaa bongo niwengi wanatofautiana majina tuu CCM utaitwa fisadi nk UKAWA utaitwa kamanda nk sipati jibu jee? Kamanda na fisadi ni pacha ushabiki hautatufikisha kokote
  2. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Kutoka 3:5 Naye akasema, usikaribie hapa vua viatu vyako miguuni mwako maana mahali hapo unaposimama ni Nchi takatifu. T.B joshua yupo sahihi kama kaikabyaga ardhi ya Tanzania pekupeku
  3. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Picha: Ubunge jimbo la Vunjo moto,Dk Latonga Mrema V/S James Mbatia

    hahahahahahaha siasa usiwe naaibu
  4. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Sitta: Tuna wakati mgumu

    6 maneno na mtendo yake haviendani
  5. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwana na G6, na nimehamia X man G8 nakula raha!

    inafanya kazi 2g na 3g
  6. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    hatushindani sema hakuna satellite ya 36.6e ipo ya 36.0e picha isikuchanganye soma mwanzo hadi mwisho utafaham
  7. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    jukwa la siasa kunakufaa hata linki huoni kunanini
  8. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania systeam mpya ya kuangalia dst..

    mkuu za sports
  9. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania systeam mpya ya kuangalia dst..

    mkuu HD haioni kwa sasa kuhusu kuzima haizimi kunasiku jioni inasumbua baadhi ya chanel
  10. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania systeam mpya ya kuangalia dst..

    mkuu mi natumia X Man G8 CCCam ya mchina inashusha mzigo kwafujo. G1,G2,G6 zimebuma
  11. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    bado unamawazo mgando ya ccm kuweka jiwe vyama vingine mgombea jiwe linapita kanawe uso
  12. Mufiyakicheko

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    jee? wewe ni kibaraka wa zzk
Back
Top Bottom