Recent content by Mudhyd

 1. Mudhyd

  Hivi Marekani ni kweli watu wanakufa hivi au tunadanganywa?

  Kwamba ni ndogo au, Kama ni kubwa wadanganye watu wao wanakufa ili imfaidishe nani! Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Mudhyd

  Naomba kujuzwa usalama wa Moshi.

  Kiduku Lilo njoo chukua ndugu zako huku!
 3. Mudhyd

  Mwanafunzi auawa na mamba akioga Ziwa Victoria

  Kama mabaki ya mwili hayajaonekana kivipi wathibitishe kifo chake?
 4. Mudhyd

  Maeneo ya Dar yasiyo na joto sana

  Goba na Kifuru
 5. Mudhyd

  Baba mwenye nyumba ameamua kuwaomba wapangaji wake msamaha

  Ngoja waje, wapo njiani wanarudi majumbani mwao!
 6. Mudhyd

  Gharama za kuandika private number kwenye gari zipoje

  Kama sio anafuata nyayo za Kiduku Lilo Basi itakua ndugu yake huyu!
 7. Mudhyd

  Dr. William: Madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu(Energy drink)

  Good Thread! [emoji122][emoji122][emoji122]
 8. Mudhyd

  Namna ya kutuma maombi ya kazi katika mashirika mbali mbali.

  Duh, hii hali ni hatar! Ila asichoke kutuma maombi kwa namna hiyohiyo mnayotumia, ipo siku ataitwa tu kwenye usaili!
 9. Mudhyd

  Uswahilini mkibadili biashara, badilisheni majina ya biashara ya awali mnakera

  [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 10. Mudhyd

  News Alert: Kiwanda cha kutengeneza Nguo cha Sunflag Arusha kinateketea kwa moto muda huu

  Wanazalisha khanga, mashuka ya kimasai, vitenge, t-shirts n.k
 11. Mudhyd

  Msaada: Fundi wa kubadilisha betri ya Iphone 6

  Mpigie huyu ‎‎0719218887‎‎ atakusaidia!
 12. Mudhyd

  Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

  Naul ni 33 top, ni luxury, gari iko poa sana na pia konda na dereva wake wana lugha nzuri kwa abiria!
 13. Mudhyd

  Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

  JMC ikitoka dar saa 12, singida saa 10 unakua umeshafika! Nauli ni Elfu 30 mpak 33, seat ni 2 by 2
 14. Mudhyd

  Mkuu wa mkoa Dar na social relationship ya wakazi wa mkoa wa Dar..!

  [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Top Bottom