Recent content by Mudhamil

  1. Mudhamil

    Muungano ukivunjika

    Kumbe Mafuta & gesi siku hizi sio vya maana?
  2. Mudhamil

    Soko la kuku wa kienyeji Zanzibar

    Vitunguu maji ni 140000 ( 140k )
  3. Mudhamil

    Muungano ukivunjika

    Unajifany hujui au unajisahaulisha kuwa Zanzibar pia ipo TRA ambayo inakushanya kodi na kuzipeleka uko bara na ndio hulipwa hao wabunge na sio kwamba iyo mishahara na posho za wabunge wa Zanzibar zinatoka uko Tanganyika
  4. Mudhamil

    Natafuta nafasi za kazi za Hotel Zanzibar

    Kuhusu website ungejiaribu kugoogle izo hotel za Zanzibar huenda ukakutana nazo
  5. Mudhamil

    Natafuta nafasi za kazi za Hotel Zanzibar

    Ivi ilivyofunguliwa ile Hotel ya bakhresa Hotel Verde Zanzibar ulikua wapi? Ila nimesikia mwezi wa saba watajiri ten so usicheze mbali na ni vyema ukawa na connection na mtu ali aweze kukusaidia kwa urahisi
  6. Mudhamil

    Zanzibar: Watu 9 wadakwa kwa kula hovyo mchana wakati wa Ramadhani

    Kwetu sisi Waislamu funga kuletewa inalengo moja lenye manufaaa Allah yake haja wachamungu kuwa na Sikumuweka mja ashinde na njaa
  7. Mudhamil

    Watanzania hii imekaaje?

    Hahahha daaah nacheka kama mazury ati apo ndo watakumbuka nin? Hahaha
  8. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Kwa iyo unamanisha mtu akiwa na Dhambi ya uzinzi ata afanye jema jengine vpeee hawezi kupata thawabu si ndio?
  9. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Ikiwa saiv tu idadi ya Wazanzibar sijui ata kama imefika M2 je kwa wakat huo unawazungumzia idadi nusu ya Wazanzibar wapi?
  10. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Hahahaha sas Masheke unaowazungumzia wew ni kabla ya mapinduzi unadhani Wazazi wa kipindi hicho walikuwa na Muwamko wakuwapeleka watoto wao madrasa wakiwa na umri mdogo ni sawa na Muwamko wa sasa?
  11. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Jamii gani inawalazimisha ikiwa mtoto anapofika umri wa miaka 5 tu anapelekwa madrasa kujifunza dini yake?
  12. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Ivi unajua kuwa hao mashekhe ambao wew unaawadharau izo sheria hawajaziweka wao wanafuata mungozo wa kur an na sunna za Mtume Muhaammad (S.A.W)? Nimeshakwambia ni vigumu kutenganisha kichwa cha mwanamke wa kizanzibar na ushungi
  13. Mudhamil

    Kwanini wanawake wa Kinzanzibari wa miaka hii mishungi imezidi!?Kunani

    Jiulizee Zamani iyo inayotoa mashekhe wakubwa wakubwa ilikua ni kabla ya Mungano wa Tanganyika na Zanzibar au baada ya Mungano? Na kwani ni nani alielazimishwa kuvaa ayo mashungi? Kuna walioshikiwa mitutu ili wavae mashungi?
Back
Top Bottom