Soko la kuku wa kienyeji Zanzibar

Soko la kuku wa kienyeji Zanzibar

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,441
Reaction score
8,692
Habar wana JF

Wale wakazi wa Zanzibar Unguja Pemba nk...ambao wapo JF naomba kupata habar za soko la kuku wa kienyeji

Nikiwa katika matembezi yangu katika mkoa wa Tanga nimeona kuku wengi wakinunuliwa mitaani na kwenda kuuzwa Zanzibar.......
 
Unataka kuuza au kununua? Kifupi hueleweki unataka nini
 
Salaam wakuu.
Nadhani mleta mada alitaka kuelekezwa kuhusu soko la Kuuzia kuku wa kienyeji kwa hapo Zanzibar

Pia na mimi naomba kuelekezwa kwa hapo Zanzibar soko la vitunguu maji lipo na kwasasa net inauzwaje?
 
mimi ninao wengi tu nawauza pamoja na mayai yake pia tray15000
 
Salaam wakuu.
Nadhani mleta mada alitaka kuelekezwa kuhusu soko la Kuuzia kuku wa kienyeji kwa hapo Zanzibar

Pia na mimi naomba kuelekezwa kwa hapo Zanzibar soko la vitunguu maji lipo na kwasasa net inauzwaje?
Vitunguu maji ni 140000 ( 140k )
 
Back
Top Bottom