Kwanza unatakiwa kuwa na nia hyo itakusaidia kiwa mvumilivu
Nidhamu ya hali ya juu sn
Usiwe na kiherehere
Ushirikiano na wenzako
Mengne utayaona hukohuko nakuyakabil lkn lazma uwe na NIA kwanza la cvyo upara tu unakukmbza
Mengne km ya jkt tu
Uandishi ni professional kaka heading umeweka nikajua kuna picha za maiti haa kumbe hoja zeny pumba kiasi hk et kwnn wametajwa weng wa kristo sababu wakristo ni weng zaidi bungen kulko waislam au hujui hl
Huyu hajielew na amekurupuka!! Kesi yoyote inayomuhusu askar kupiga mtu au kuua wanafikishwa mahakaman na kufukuzwa kazi!! Wewe ulipigwa ulkua wap na ukafungua kesi kituo gn na rb yako ni ip! Weka vielelezo hapo ili usaidiwe
Nikushaur nenda kwa ocd wake kalalamike ndio utaratbu, hapo kuna dc rc rpc watajadil km kamat ya ulinz watachunguza nakuchukua hatua ila sio kupost kweny mitandao. Wewe kwanza huna kazi inavyoonekana ndio maana hujui procedure za serikalin
Acheni upuuzi wenu!! Lema kila cku anatukana serikali nzima tena viongozi wa andamizi kwa majina huyo raisi ndio kila anapopanda jukwaan anamkashifu leo hii huyo polisi wa kijijin huko bugalama ndio unajifanya unauchungu sn nenda kwny mikutano ya cdm ukajifunze jinsi viongozi wanavyotukanwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.