Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
Ni katika habari iliyoandikwa ndani ya Tanzania Daima la tarehe 12 mwezi huu,juu ya ufaulu katika shule ya msingi Rweikiza naomba nikusahihishe na nikutahadharishe usipende tena kuandika kwa kusikia tu,fanya utafiti kidogo hata kama umepewa bahasha vinginevyo mtaendelea kudharaulika sana ..taharifa yako iko hivi,
1.Rweikiza ipo wilaya ya Bukoba,katika hili wewe ni mwongo hii shule ipo Bukoba(V)
2.ilikuwa ya 1 katika wanafunzi 145 kiwilaya,siyo kweli pia bali ilikuwa ya 1 kati ya shule 145 kiwilaya 3.
ilikuwa ya 3 kati ya wanafunzi 909 kimkoa,mwongo sana,ukweli ni kwamba ilikuwa ya 3 kati ya shule 909 kimkoa ..tatizo hamsomi hata vilivyoandikwa tayari,mbona haya yapo kwenye website ya necta! ama mwenye shule kakupa bahasha Rweikiza mbunge? ndo maana umeandika kisiasa kusema wilaya ya Bk badala ya vijijini?