kwa bongo hizi gari zilichelewa kuingia, ila kwa wenzetu kenya ni nyingi and they like them, swala la spare parts ni lazima kwa bongo tutegemee kuwa vigumu kupatikana make dealers wasingeleta spere bila kuona demands,now expect spare kupatikana na for reliable price kwa sababu waliojaliwa...
I like the way you respond most of you.it show good familiality,
Naomba tuebndelee kusaidiana.
kuna baadhi ya premio corona zinakuwa na tatizo la kuchanganya oil na gas/petrol. please naomba msaada ili kuzifaham aina yake ni ipi.
thanks waungwana.
kati ya mwenye elimu ya madini, lawyer,mwalim na nk. ni nami anaweza kulifafanua kinagaubaga swala la uwekezaji katika sect ya madini? ndo mana ati mwanasheria tena yawezekana hajawahi kuiona gold on its naturallity anakwenda kuingia mkataba na mwekezaji. ni nini tutegemee
je, kuna umuhim wowote wa kuongozwa na viongozi wazalendo hasa uraisi?
wagombea wengi wamekuwa wakijiita wazalendo bt at the end of the day wizi mtupu. hamuoni kuwa kuna umuhimu wa kuongozwa na viongozi kwa mikataba ya ajila yenye kulindwa na bunge na sio chama kama ilivyo( maamuzi yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.