Recent content by mucherngle

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahindi 55000/=usafiri bure Tanzania

    Me nataka hayo maindi ya 55000 ila mnisafirishie hadi South Sudan
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    Ama kwenu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanasema match ikibepostponed beyond 48 hours then itabeconsidered void hivyo unaberefunded kama ni single bet, kama hiyo mechi ipo katika multiple bet then itabeconsidered with odd 1 Kama match imebepostponed within next 48 hrs then itabeconsidered valid na mkeka utaendelea kupumua mpaka hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi maximum no of teams katika betslip ya 1xbet ni ngapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    kama wanakata 253,000 kwa mwezi, kwa miaka mitano watakuwa wamevhukua 253000 *12*5 ambayo ni sawa na 15180000. riba=(makato kwa mwaka - mkopo)/mkopo riba= (15180000-10000000)/10000000=51.8% kwa miaka 5 ambayo ni kama 10% kwa mwaka..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    nmeenda setting then video then acceleration ila render haipo active. Natumia latest version ya Kodi. cjui tatzo litakuwa nn mkuu ila katka PC inakubali vzuri tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    singo iliyoanzishwa na Chadema kuwa ACT ni kibaraka wa CCM na imekuja kugawa kura za upinzani inazimwa na Chadema pia kwa kukataa ACT wasijiunge Ukawa. Kwa mtazamo wangu naona hiyo barua wametuma on purpose wakijua kabisa kujiunga na Ukawa haiwezekani. Soon awamu ya pili ya ziara ya kufyeka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    hivi hamjui kwann ACT wametuma barua ya kutaka kujiunga UKAWA? ACT wanafuta kale kamsemo kuwa wamekuja kugawa kura za upinzani. Soon wataanza ziara ya awamu ya pili wakati wabunge Wa upinzani wakiwa mbungeni. Wakifika kwa wananchi wanachakusema pale watakapoitwa wasaliti wa upinzani, kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    kama kuna sababu ya msingi, uchaguzi unahairishwa tu. kama unakumbuka mgombea mwenza wa CUF kama cjakosea alifariki ghafla ikabidi uchaguzi usogezwe mbele kidogo. Pia mchakato wa kupata wagombea ndani ya vyama inachukua miezi 2 ambapo huwa unaanza mwezi wa 5 mpaka wa 7. Kuanzia mwezi wa 7...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

    inategemea ulivyoichukulia hiyo statement. mfano mtu akisema nchi yangu Tanzania. It doesn't mean something I possess/own rather It means something am involved in.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atua Dodoma kuinadi ACT

    mkutano unaanza saa ngapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    hivi ndugu kuna mtu analazimishwa kuamia ACT au wanaamia kwa hiari yao? Kikubwa ni kujiuliza kwann watu wanaamia ACT?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    uongo upo wapi hapo ndugu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mvua kubwa, ACT yafanya Mkutano Njombe (PICHA)

    Mimi ni mzalendo, lengo letu si kupambana na Chadema bali waafidhina na wezi wa maendeleo yetu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jackline Mahulwa Masanja: Nyota iliyozimwa kabla ya kuangaza...

    It really pains! Mungu akulaze mahali pema peponi Jack
Back
Top Bottom