Recent content by Muadhin

1. M

Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

Libya kila sekta imekamilika. Afya bure,elimu bure, umeme bure n.k sasa walibya hawakuridhika mpaka wamempindua gaddaf. Je chadema wa tanzania si ndo utumbo mtupu?
2. M

Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

Yani ningekuwa nakujua ningekutafutia zawadi nzuri nikakupa. Mi sioni wanachokitaka chadema ila kuharibu amani ambayo twajivunia kwa sasa. Kama malengo yao ni maendeleo, basi wangeshirikiana na vyama vyengine ili kutimiza malengo yao.but kauli mbiu yao ni kuitoa ccm madarakani na si maendeleo...
3. M

Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

nyie waongo tena wazandiki. Mnao uthibitisho kwa mnayoyasema? Sie twawajua wakristo chungu tele wameajiriwa ktk kampuni ya Azam. Tena msidhani azam anauza ice cream 2. Unayoyasema mengi yamejificha but Mi nakuuliza.ILE TIMU YA AZAM FC NI YA NANI? Je...
4. M

Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

wewe unajielewa kweli? Hebu kaisome tena hio bible. Unadhan Taurat,injil na zabur umeteremshiwa wewe? We sijui ni mmakonde wa wapi na unasoma habari za WANA WA ISRAEL. Mi nakufahamisha Wewe ni mtanzania na kuna nchi inaitwa ISRAEL ndo walopewa hio bibke mnayojidai mwaijua kumbe...
5. M

Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

wewe muongo na mnafiki mkubwa. Eti nenda Mum walimu na w.funzi wote ni waislam. MI NAKUJUENI KWA CHUKI ZENU. Basi Kwa taarifa yako wakristo wapo na u nenda kaombe kusoma kama utanyimwa na hata walimu wapo pia wa part time ambao ni wakristo. Suala la kuwa walimu na wanafunzi...
6. M

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Hahahaha. Mi naona hata nikiweka my comment ni kazi bure. Mungu akufunulieni ufahamu kama kweli mwataka kuujua ukweli.
7. M

bashe adodondoka uchaguzi udom

mimi sitokutukana sababu hujui umeumbwa duniani kwa malengo gani! unajitia mkurgenzi huo ukurugenzi kakupa nani?mara asali mkurugenzi mara wewe mbona hueleweki? unao uthibitisho kuwa asali kawaita waislamu wenziwe waje kuchukua fomu? kama unao uweke hadharani ii uone ulimwengu utakavokuona...
8. M

Udom sasa udini waziwazi

mwenye akili timamu akienda bafuni.akaja kichaa akachukua nguo na kukimbia nazo,ikiwa mwenye akili timamu katoka na kumkimbiza.nani ataonekana kichaa? mimi nimekwambia mpaka bible inathibitisha kuja kwa MUHAMMAD but huiamini bible yako mwenyewe.ndio sawa na punda alobeba mzigo wa vitabu but...
9. M

Udom sasa udini waziwazi

Wewe ni mnafiki.unajidai kumfagilia yesu "eti kuna kajiuongo umetumika" but ulipomtaja muhammad {p.b.u.h} hukusema kuwa ni uongo kwanini? Mimi naomba unipe ushahidi na vithibitsho vya wazi kuwa eti aliwaingilia watu kinyume na jinsia.eti kamuoa mtoto wa miaka 9.wewe umeliona umbile la huyo...
10. M

CHADEMA yachukua uongozi udom

Kama husomi udom kwa nini unazungumza usoyaelewa?upumbavu umeuanza wewe kujidai kiherehere kujisemea usiyo na uhakika nayo.ulikuwa ukutane na sisi wenyewe tukwambie yanayojiri.baada ya kukwambia ukweli unajidai una busara sana sio?mbona hukuuliza uthibitisho tangu mwanzo kuhusu habari za...
11. M

CHADEMA yachukua uongozi udom

Siwezi wala sitoweza kukutukana sababu hujielewi umeumbwa kwa malengo gani.wewe mwenyewe mpaka leo una kigugumizi manake hizo habari za kifo cha osama huna uhakika nazo.mi naomba unipe picha ya mwili wake baadaya kufa,kwanini walizuia kufanyiwa kipimo cha dna,kwanini walimzika...
12. M

Udom sasa udini waziwazi

Tuwaachie wenye busara na hekima waamue mimi na wewe nani mpumbavu.
13. M

Udom sasa udini waziwazi

Wewe unajifanya bingwa wa kugeuza maneno ya mungu sio?mimi nataka uniletee huo msahafu uliotoa hio aya.kama huo msahafu mumeuandika kanisani sawa.but kwa huu tunaoutumia sisi hakuna upuuzi kama huo.umejidai kuchukua kipande cha aya tena umekianzia kati halafu ukakikata ukatia maneno yako{na...
14. M

Udom sasa udini waziwazi

Una uhakika na unachokisema au unaona sifa kufurahisha baraza? Tuache kuzungumzia ya maana msikitini tuzungumze upuuzi wenu? Sie hatuikubali demokrasia sababu demokrasia maana yake wengi wape.haijalishi ni vichaa,wehu,mashoga,wajinga....n.k. Na nyie wakristo mmejazana udom kama hamna pa...
15. M

Udom sasa udini waziwazi

wanaoaibika ni sisi au nyinyi? Ukweli umekudhihirikieni hata kipofu analitambua hilo.sio nyinyi mliowakandamiza waislamu tangu mwanzo katika sekta ya elimu? Usifuate kasumba za wenzio.kaa chini na utafute ukweli upo wapi.upo chuo wewe unawaaibisha hata ndugu zako wa o'level wakiuona huu utumbo...
Back
Top Bottom