think big,,kinachotokea sasa hivi kwa tanzania ni watu kujua nini serikali inatakiwa kuwafanyia na nini wajibu wao kama wananchi,dr.slaa,mnyika,zito na kina lema wanachokifanya kuwafumbua wananchi macho,wanawapa elimu ya uraia ,,,so wananchi wameanza kujua haki zao wakidai haki zao watawala...