Deogratius Kisandu: Mtoto wa Rais Mstaafu amenionea

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,380
Anaandika Deogratius Kisandu kutoka kule Facebook kwenye akaunti yake.

MTOTO WA RAIS MSTAAFU UTANITAMBUA:-

1. Nani alikupa mamlaka ya kuvi command vyombo vya habari mwaka 2013 vitangaze Deogratius Kisandu ni Jambazi na Gaidi?

2. Ulitumia nafasi yako ya mtoto wa Rais kumdhalilisha Mtoto wa Mtanzania?

3. Ulitumia fedha za baba yako kunichafua na kunidhalilishia Ukoo wangu au sio?

4. Hukujua kama Mimi ni mwanasiasa mwenzio, ulifikiri sitakuja kujua?

5. Wakati bado na deal na Mme wa Mbunge wa Chadema aliyetumia na yeye nafasi yake kunidhulumu, nakuweka pending?

6. Mmenishusha chini kwa nguvu kubwa sana na kunifilisi ili mhalalishe mliyoyatangaza, Umekanyaga pabaya?

7. Niko tayari kuendelea kuumia kuliko kukaa kimya, sasa ninafufuka rasmi, hakuna cha mtoto wa Rais Mstaafu?

8. Najua fika uovu huo na unyama huo ulishirikiana na mmoja wa mawaziri kutoka mkoa wa Tanga, mtanikoma na vyeo vyenu?

9. Sitakubali kuwekewa Jeshi kisa eti Jeshi limtetee mtoto wa Rais mstaafu na huyo waziri, bora damu imwagike kuliko kunifedheehesha.

10. Wabunge wote wanajua ulicho kifanya kupitia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano Sengerema mwaka 2013.

Pokea Salaam, zangu:- NINAKUJA HUKO JUU:-

Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.
 
katika hoja zako za leo mbili nimezifahamu vizuri hizo nyingine nimefahamu upande mmoja tu.

Huyu bwana ukitamka kujua anachosema pale anajitaja jina lake/ nafsi yake weka (....) maana yake kuna mtu aliumizwa... endelea mkuu
 
yaan sikuhizi analalamika km mtoto wa kike. nawasiwasi na hicho chama kama kitakua cha watu wa design yake bas ni shida
 
Back
Top Bottom