Asili ni mashariki ya kati.
Sherehe ya kuzaliwa na maadhimisho ya upendo....hivi vitu viko tofauti.
Kufananisha au kusogeza ufanano naona hapo unakuwa mkunjo. Kwa unyoofu ni hivi kuzaliwa ni hatua kuu kwa mwanadamu......kupitia katika makuzi yake hilo la upendo na utashi hufuata na wengineyo...
Unahitaji niwe na uelwe aina gani?
Uelewe wa utambuzi 100% ninao nafikiri wewe ndiye uelewe umekita nchani.....
Maulidi ni birthday na Valentine ni nn?
Upofu hauliwazwi kwa kupapasa
Je na hii mila ya kulala kwa zamu ikoje?
Nasikia wanalala pamoja kuna zamu ya kulala kwa kila familia, Baba na Mama wao wako full, ila watoto hata wakioa wanakaa nyumba moja ila kuna time ya mambo kila mtu na wakati wake kwa watoto walioa na wale hawajaona wanakula misele road usiku ukifika...
Mkinga na Mmakondeko wako tofauti sana ila kwenye imani za kishirikina kidogo wanashaibiriana, ila kwenye kushindia maandazi ni wakinga kwa sana. Mmakonde hana hiyo tabia pia toka kitambo mmakonde anavaa vizuri.
Aisee bendera hufuata upepo....Mr prezdar tulimcriticise ndani ya mwezi mmoja na kuendelea kama wanaharakati na uchu wa maendeleo.
Na leo sio vibaya kumtazama meya wetu wa Kino miezi yake 2 kutufanyia nini au stori za Ali Natacha na Abunuwasi.
Ili penye kufukuta panaonekana aghalabu penye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.