kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
Mkuu kuduman201036 huyo wa katikati ya Malawi na Kongo anakupigiaje simu?hebu tupe hiyo stori[/Q Niliwahi mtembelea shemeji yangu MKE wa kaka nilipofika mara nilimuona anahangaika na simu ' akaniomba samahani ''shem'' hapa ninatafuta life kuna mtu ninawasiliana nae hivyo ananipa maelekezo , mara tukaambiwa wote tutoke nje ,woote nyumba ifungwe kwa saa moja hakuna mtu kuingia ndani ,kwa maelezo ya huyo shem wangu ni kwamba ndani kuna vifaa alivitayarisha kwa ajili ya kupokea mzigo zaidi ya milion 500 kati ya hizo million 100 zichomwe moto na majivu apelekewe huko mpakani .sasa hizo million 400 jinsi ya kuzitumia mashart yake daaaaaaah mm hoi.