Recent content by Mtwakulyalam Chotipango

  1. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Angalizo; (picha ndani zinatisha) maajabu ya mazishi ya Tibet, Mongolia, China

    Mkuu bado nafikria utofauti wa hii dunia, na ni upi utakuwa mwisho wangu sahihi wa maisha mbele za Mungu & Shetani
  2. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta jana!!

    Pole mkuu, hii kesi kwa mara ya pili naisikia kwako
  3. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Mkuu binafsi nakuelewa sana , then nisamehe cos mara nyingi nikiilewa sana post huwa naicopy kama ilivyo,
  4. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Ni ngumu sana kwa mwenye kichwa raini kama changu kukuelewa, lakini najitahidi kukuelewa mara zote
  5. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Kikosi kazi hiki kimefitinika!

    Mkuu we ni Creative kama wanavyo sema wenye lugha yao
  6. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Miaka ya neema, miaka ya uharibifu

    Asante mkuu, fundiso limefanana kidogo na picha moja ya kihindi nimetoka kuiangalia jana yaitwa (BEYHADH). Asante kwa fundisho.
  7. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia simulizi ya nyoka kupaishwa kwenda angani kutokea baharini?

    kwa mwenye uelewa zaidi tafadhali juu ya hili ............ fafanua
  8. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Huyu dada nashindwa kumwelewa status zake anazoweka WhatsApp na post zake facebook ni za ajabu

    Mkuu jaribu kumpenda yeye achana na habari za status zake,
  9. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Vijana tujikwamue na umasikini tusitegemee Serikali

    Mkuu nipo tayari 100%
  10. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Tukio hili lilinifanya nimheshimu sana bibi... toka kipindi hicho nilitia akili

    mkuu huo ni ukweli direct hamna hata kupepesa macho, nina uzoefu wa maisha ya kijiji kwa miaka 12.
  11. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Iringa: The Highlands, Lugalo, Iringa Girls, Mkwawa HS na Mwembetogwa tukutane hapa!

    Lugalo 2010 nimemaliza, nawakumbuka sana #kidenya #Luyagilo #manyama nk
  12. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Hizi pete inawezekana zina matumizi mengine tofauti na kumaanisha ufreemason?

    Mshukuru mzee mmbea aliye kushauri mapema kabla hujaenda kutoa maelezo robo zaidi ya yale aliyo nayo unaye muelezea juu ya pete
  13. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Ni mwenye akili za kuelewa tu ndio ataelewa nukuu hii

    :D:D:D:DMkuu huu utafiti kaidhinisha paramagamba,.......? okey anyway umeeleweka mkuu
  14. Mtwakulyalam Chotipango

    JamiiForums Tanzania Dar kugumu kweli

    upo sahihi mkuu
Back
Top Bottom