Recent content by mtwa kinte

  1. mtwa kinte

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Chai imekua chungu sana koh koh🥴🥴
  2. mtwa kinte

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Mkuu adawa gani ulikuwa unatumia na vp zilikusaidia?
  3. mtwa kinte

    Employment opportunities

    Hivi hizi Kazi zilishapata watu?
  4. mtwa kinte

    Changamoto Ulizopitia Kwenye Kusaka Ajira

    Changamoto kubwa ni mareceptionist, Hawa wadada wanajionaga wametoboa maisha tayari
  5. mtwa kinte

    Utafiti binafsi: Wilaya za Dar zinazoongoza kwa Ukahaba

    Mkuu punguza ubishi, hao wa buku mbili wapo sogea hapo sugarlay utawaona
  6. mtwa kinte

    NBS washaita watu kwa usahili?

    EWURA😂😂😂😂😂😂😂
  7. mtwa kinte

    Barrick Group (64 vacancies)

    Hapa wajuvi wengi, ila kwa hiyo domain ya email sidhani Kama ni matapeli, ingekuwa domain ni gmail, yahoo au nyingine za dizaini hii kweli ningeisi ni matapeli
  8. mtwa kinte

    Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma, imetangaza nafasi za kazi katika wilaya za Igunga, Kasulu na Musoma

    Jaribu kufuta academic qualifications zako na uzijaze tena. Itakubali
  9. mtwa kinte

    Natafuta kazi (uhasibi, cashier, teller, auditor,data clerk,bookeepr)

    Waone jamaa wanaitwa Tanzania Association of Accountants sizani kama utamaliza mwezi bila mchongo. Wapo pale pale NBAA
  10. mtwa kinte

    Assistant Auditor Grade II (15 posts) at COASCO

    Hizi nazo ndio zile ajira million 6???
  11. mtwa kinte

    Tuliwahi kupigwa/kukimbizwa na machizi tukutane

    First year nakumbuka siku hiyo nmekula wali maini sijashiba nikaenda agiza chips yai, sasa nmeshachukua zile chips nmeweka mezani nmeenda kununua soda narudi nakuta mwamba (wale vichaa wa mwezi mchanga) kakumbatia sahani anakigonga kyepe changu kwa speed ya F-35 stealth fighter. Dah ilibidi niwe...
  12. mtwa kinte

    Redio za FM zinaajiri watangazaji wasio na taaluma

    Kuna haja ya kuanzisha bodi ya waandishi wa habari kama ilivyo bodi ya wahasibu, bodi ya wakandarasi na bodi ya manunuzi na ugavi. Kazi ya bodi hiyo itakua ni pamoja na kusimamia ubora na shughuri za utoaji habari pamoja na kutoa mafunzo.
  13. mtwa kinte

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    360k nying sana nmeshuhudia watu wakifanya kwa 200k kwa zaidi ya miez 6 na wengine zaid ya hiyo ila leo hawashikiki. Kikubwa ni focus tu na kutengeneza CV. Private sector ukiotea huwez kutamani serikalini ata kidogo
  14. mtwa kinte

    Bank Teller at The People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ) - 28 Posts

    Awa jamaa na Zanzibar insurance wanafanana kwa mengi, kama huna kiremba ngumu sana kutoboa
Back
Top Bottom