Recent content by mtuwako

  1. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Shemale? Ushuhuda hapa

    Nikwei hayo ni madume yanapewa vidonge vya aleji za kike
  2. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Group za Whatsaap Ni shidaa

    Nina group 50 na bado nipo nayo
  3. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

    Sio kweli malaria ipo amerika lakini jina tofauti
  4. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    Ulikutana na mpiga ponyeto mzoefu sana ndio maana haikuwa shida kuwaga sperm kutokana na kutikuwa na msuli
  5. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Ongoing tafiti: Idadi ya michepuko kwa mtanzania mmoja mmoja

    Nina michepuko 4 Maombi ya kuchepuka 6 Nilioomba kuchepuka 9 Yaliokamilika 2016 ni 15
  6. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako

    Hata dume la mbegu likipiga mechi kali mwisho wake hukoroma hapohapo
  7. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Hamna mtihani mgumu kwa mwanamke kama kuwa na jamaa anayejua kugegeda lakini hana hela

    Ndio maana nikawa napata mialiko mingi ya kugegeda dah sababu nilikuwa sijui kwa nini nachukiwa na kujenga uadui na rafiki zangu wenye pesa
  8. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu hapo katika lugha umekosea kidogo matumizi ya lugha ya kiarabu katika vitabu ni sababu ya kwamba vitabu vingi vya kale zama za mitume na manabii pamoja na mawalii walitumia lugha hiyo kutokana na mazingira yanayowazunguka
  9. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Tinachojadili ni habari zilizo pitwa na wakati
  10. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Septemba: Guide to investing (Muongozo wa uwekezaji)

    Hongera kwa ubunifu wa hali ya juu na kuwajali watanzania na wengineo nipo pamoja kufuatilia kila ujuzi Huu ambao ndio ukombozi wa maarifa zaidi.
  11. mtuwako

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sikufikiria kama benk yetu inafika mpaka huku hongereni benk inayowafuata wateja wake popote walipo. Mpaka sasa sijawahi kupata tatizo lolote katika huduma zenu kupitia matawi ninayoyatumia
  12. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    Kwa ufafanuzi huu unahusu ikulu ya tanzania hakuna mashaka kabisa kwamba mfumo wetu wa kiulinzi ni wa kiwango cha juu sana ambao hauwezi kupatikana duniani kote. Na ndio maana hata marais wa mataifa makubwa washaizowea tanzania na wanazidi kuzuru tanzania kutokana na usalama ulichanganyika na...
  13. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Kwa fikra zangu kosa lipo kwa wazazi wenyewe kutokuwa makini katika uangalizi wa watoto wake. Au ni matokeo ya historia ya wazazi wenyewe ambapo ndio hayo hayo waliowafanyia mabint wa wengine. Au watoto kupewa uhuru wa kutosheleza kufanya watakavyo. Au mapenzi ya mzazi kwa mtoto wake mpaka...
  14. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Avatar mbali mbali na maana zake

    Angalia yangu hiyo
  15. mtuwako

    JamiiForums Tanzania Mzizimkavu kaadimika

    Pole sana mzizimkavu.
Back
Top Bottom