Recent content by mtupoa

  1. M

    Pata kazi zote za Tanzania

    lini itapatikana apple store?
  2. M

    Katiba mpya sawa, lakini hii ya USA Hapana

    separation of power.
  3. M

    Mashine za kuandikisha wapiga kura (BVR) zachakachuliwa?

    mkuu ni vizur kukachunguzwa system features kama alivyosema mchangiaji hapo juu.ningependa kuongeza sababu za kuangaliwa system features ni hizi; 1.kuna system adminstrator.huenda sytstem adminstrator akawa na uwezo wa kubadilisha number au system performance remotely.pia ana uwezo wa kuacess...
  4. M

    Natengeneza ndege na FM transmitter

    kama unaweza tengeneza.but mimi pia nasoma engineering.usikate tamaa kuhusu kutengeneza.kila kitu ni kiko open kwenye mtandao.unaweza kutengeneza na kukusaidia katika masomo hasa uelewa.ila ushauri wangu katika ugunduzi ni kama unatengeneza ndege ,jiulize unaipa features zipi zitakazoizidi ndege...
  5. M

    Anna Tibaijuka, Andew Chenge na Wiliam Ngeleja, wasimamishwa Ujumbe wa NEC na Halmashauri Kuu ya CCM

    Mkuu nakumbuka pinda akihojiwa na bbc nae alisema anatangaza nia kimya kimya....kachukuliwa hatua?
  6. M

    Duka gani Dar, ninaweza kupata Arduino Uno?

    Mwenge electronics Kariakoo.
  7. M

    Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    namnukuu mkuu wa nchi kutoka hapo juu "Huu ni mwaka ambao tunapaswa kuwa na rasilimali za kutosha kuweza kuwapatia ushindi wagombea wetu, ni mwaka wa kuhakikisha tunafanikisha kwa kiwango kikubwa. "eti ni rasilimali gani?me nlijua atasema hoja .
  8. M

    Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

    wazee wangu sometimes tujaribu kupambanua mambo kwa hoja.mtoa mada huenda amekosea wakati akitoa mawazo au hoja yake.napingana na kusema kila mtoa hoja anamchafua mgombea fulani.huu ni wakati wa kuchambua kila tunaefikiri anakua kiongozi wetu.tunapojadili udhaifu qu mapunguf yake humsaudia yy...
  9. M

    Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

    wakuu sababu za smart kua nchi nzima ni teknologia wanayotmia....hawahitaji minara.wao wana satellite mobile communication.wanatumia satellite na few ground stations hvyo pia inakua rahis ku cover nchi.
Back
Top Bottom