Recent content by mtungi wa gesi

  1. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Iyo ni bei ya reja reja kaka mwenyewe akipigiwa simu hapokei na kuna mda simu yake ipo buzy sana
  2. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Kaka umenunua wapi jezi hiz
  3. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Asubili ndani ya wiki mbili zijazo kuna contena zinakuja na jezi mpya ya simba na yanga
  4. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Zitakuja kwa kweli jez ni jez na hawatakua na cha kutufanya
  5. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Watavaa wenyewe hawa
  6. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Naona kakutuma
  7. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Kaka wewe mgeni kwenye hii biashara fredy ananielewa vizuri nacho sema fredy hawezi uza hizi jez reja reja kama wengine wakati yeye ndo msambazaji mkuu ni sawa uende kwa bwana moo awe anauza bidhaa yake moja moja kama wauzaji wa reje reja
  8. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Fredy ndo anaetengeza huu mchezo
  9. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Hapana bt hata kwake pia ili upate mzigo wa jumla lazima ufahamiane na mtu akuambie lini mzigo unatoka ikifika pale bado utaiziwa 35000
  10. mtungi wa gesi

    Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

    Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio mwekezaji tunamtaka mashabiki wa simba sio wote watakao weza mudu gharama za jezi kuuzwa kiasi icho...
  11. mtungi wa gesi

    Lissu avunje kwanza Idara ya Habari CHADEMA kabla ya ile ya Maelezo

    Umeandika kimihemuko sana yaonyesha upo upande wa pili
  12. mtungi wa gesi

    GE2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

    Hakuna MTU mwenye akili nyingi chadema kama mbowe ye kabaki na uenyekiti na hataki kabisa kusogelea uraisi anajua uraisi atakosa na ubunge atapita BT aangalie now asije shindwa fika bungeni
  13. mtungi wa gesi

    Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

    Kitu ambacho hufahamu ni kwamba baadhi ya wakenya raia wa kenya wanawatumia hawa watu wenye ulemavu kujipatia fedha. Unaweza kujiuliza hawa watu wamepitia wapi? Wamepitia mpaka gani? Maana hata ukiwauliza hati ya kusafiria hawana wamepata wapi nguvu na nauli ya kufika kenya? Ujue kuna mtu...
  14. mtungi wa gesi

    Kisheria ipoje endapo Shilole atataka talaka watagawana mali walizochuma pamoja? Au hii ipo kwa akina mama tu kudai mali

    Kwa kifupi unaweza badili hati yako kama unaona kuna dosari sehemu sema taratibu zake ni ndefu zaid
Back
Top Bottom