Empower your beggars, our streets are full, Kenyans tell Magufuli

Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
10,168
9,536
Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,’ Kenyans Tell Magufuli

Kenyans have reproached Tanzania’s President John Magufuli over what they claim to be a huge spill of beggars from Tanzania in the city streets shortly after Kitui Governor Charity Ngilu posted she had come across a Tanzanian Beggar she wished to assist get medical help’

If you are a regular in most Kenyan city streets and pay keen attention to the places you walk around, then by now you must have noticed two if not five beggars by the time you get to your destination, mostly suffering from one deformity or the other and then, most conspicuously they are Tanzanians

Tanzanian’s beggar is smuggled into Kenya to beg by businessmen and women who exploit them into the act and thereafter take away their proceeds with a majority of Kenyans questioning why the Tanzanians cannot beg in their own country if they have to

In a scenario comparison, Kenyans who are in Tanzania are mostly running businesses or in managerial positions, all which are jobs considered to be dignifying while a huge chunk of Tanzania nationalities in Kenya are beggars who have been exploited by being smuggled into the country to beg and enrich already wealthy rogue business people

Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1pic.twitter.com/0MegB3tmbB
— Charity Ngilu (@mamangilu)July 9, 2020

The discussion of Tanzanian beggars being smuggled into Kenya to be used for begging business is not new with a crackdown done on Tanzanian beggars five years ago in Meru County as aired by Citizen TV:

Questions remain unanswered on why the two governments allow human trafficking of handicapped beings to take place despite the indignifying circumstances with Kenyans now asking President Magufuli to empower the handicapped in his country to save them from being exploited by rogue business people from Kenya.

The success of a nation’s leadership is weighed in how the country treats its most vulnerable people especially the poorest and the handicapped not how it treats the rich in its society, it is probably time Tanzania President John Magufuli empowers those that are most vulnerable in his country, the disabled.
 
Omba omba kutoka Tz wametapakaa kwenye miji karibia yote nchini Kenya, ila serikali, viongozi na rais wao pia wamechagua kufikia vichwa vyao mchangani. Mwisho wa siku kero hiyo itabaki pale pale na uraia wa omba omba hao hautabadilika kwa kujitia hamnazo. Maanake kila mara omba omba hao wakifurushwa huwa wanarudi baada ya muda, tena wakiwa wameandamana na wengine wapya.

Wakenya nao kwa upendo wao wa kuwasaidia wenzao huwa wanazidi kuwaboreshea mazingira ya kuomba omba na kuwavutia wengine wengi. Kero hiyo kwenye mitaa ya miji ya Kenya ni sifa mbaya na aibu kubwa sana kwa majirani.
 
Tanzanian’s beggar is smuggled into Kenya to beg by businessmen and women who exploit them into the act and thereafter take away their proceeds with a majority of Kenyans questioning why the Tanzanians cannot beg in their own country if they have to.
Sasa Yusufu, mnalia lia nini? Ushasema kuwa wanaletwa kimagendo na wafanyabiashara uko, kuja kuwapiga wajinga. In Tanzania, we dont empower conmans, sasa wameamua kuja Kenya. Tanzania wanasaidiwa sana, tatizo lao ni kugeuza hio kitu na kuwa kama ndio kazi yao. Unampa 1 million TZS kesho unamkuta tena barabarani anaomba.
 
Warudisheni kwao

Hata wakirudishwa huja upya tena na wengine wengi yaani tu, halaafu kitu ambacho huwa sielewi mbona iwe nchi yenu tu ndio inasambaza ombaomba, mbona mataifa yaliyo kwenye vita kama vile Somalia na Sudan Kusini hawajazi omba omba kwenye nchi za watu, ni nyie tu Afrika yote, tatizo lenu kubwa mna uzembe uliokubuhu.
 
Kitu ambacho hufahamu ni kwamba baadhi ya wakenya raia wa kenya wanawatumia hawa watu wenye ulemavu kujipatia fedha. Unaweza kujiuliza hawa watu wamepitia wapi? Wamepitia mpaka gani? Maana hata ukiwauliza hati ya kusafiria hawana wamepata wapi nguvu na nauli ya kufika kenya? Ujue kuna mtu anawatumia kama mradi akiwahadaa kua kuna shirika la msaada kuwasaidia watu hao na ni uongo
 
Warudisheni tz..au msiwape Ela that's all..
IMG_20200710_150032.jpg
 
Bana. Kwa inchi zote zilizo na raia Kenya, raia wa Tanzania ndo maskini na WAZEMBE kupindukia.

Yani ata mmburundi anauza kahawa mandazi, mmcongo living large or doing business, south sudan wako huku wanaishi kifahari na kusoma, Uganda biashara za Kenya wamezielewa kabisa haswa sababu ya kuongea English nzuri, Somali hadi familia za top officials wanaishi APA APA Nairobi.

Lakini ikija Tanzania ni omba omba tuu kila mahali. Yani , Meru, mombasa etc. Watanzania unawakanyanga kwa street wamekaa wamekunyoshea mkono. Wameblock pathway ya watu kutembelea yani kuzoea uhuni eti kisongizio we mlemavu.. Ni kero warudishwe kwao
Mmeangalia passport zao mkakuta ni raia wa Tz?
 
Hata wakirudishwa huja upya tena na wengine wengi yaani tu, halaafu kitu ambacho huwa sielewi mbona iwe nchi yenu tu ndio inasambaza ombaomba, mbona mataifa yaliyo kwenye vita kama vile Somalia na Sudan Kusini hawajazi omba omba kwenye nchi za watu, ni nyie tu Afrika yote, tatizo lenu kubwa mna uzembe uliokubuhu.
Kwani Kenya mipaka yenu hailindwi kumbe, nilikua sijajua hilo ...
Saa Kama hadi Ombaomba anaingia kimagendo na kumshika hamwezi aseee sijui mnaweza nn.. Ndio maana Al shabab wanawafanyaga watakavyo sababu hamna ulinzi...#failed state
 
Back
Top Bottom