Recent content by mtundu g

  1. mtundu g

    Kilimo cha mtama: Uzalishaji na soko

    aisee sasa ivi sh ngapi ninao kibao kama tani 15 ivi....waweza nipatia connection
  2. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Anajifanya kipofu ghafla...usimshangae ni kawaida yao kuwa blind eyes and ears to nat see na hear the truty
  3. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Ila utakutana na mstari unaokuambia usali jumamosi tu?
  4. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kwa mtu ambaye si mkatoliki au ni mkatoliki ..uliza swali lolote usilolijua..kuhusu kanisa na mapokeo..nami nitakujibu kwa ku refer kwenye biblia...maana mapovu yanawatoka sana mnapotumwa kutafuta sadaka...kwa ajili ya wachungaji wenu fake
  5. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kama kitu gani ambacho ni mapokeo ya kikatoliki kinapinga ...maandiko ya biblia...niambie nami nijifunze
  6. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Mungu anatupa pumnzi ya kutosha sana mpaka tunajikuta tunakufuru..kudanganya na kufanya yale tunayoona yanafaa...well...hebu mimi naomba nisaidiwe references nikasome nione ni wapi huyo mama alikuwa amevaa kimini...au ni vitabu vya kisabato tu ndio vimeandika hivo...maana huwa hamkawii hata...
  7. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Usiongee tu lete source ya fact zako...usiishie kusema eti umefanya research...wewe uhahisi kwa kusema hivo ndio utakuwa umemaliza kila kitu..lete fact...and findings...kwa kuwa...every is open now..sio tu kwa uzushi huu
  8. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Shida ni kwamba hata ukiandika thread mia..ni zenye uzushi na uongo mwingi..huku ukitumia vionjo vya vitisho kwa wasomaji wako...kama vile ulivyofundwa kwa vitisho na mafundisho yako asilia...u are wasting ya time sir
  9. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Kwahiyo ninyi mnaabudu siku na sio Mungu
  10. mtundu g

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Biblia mbona haikusema hivo...haikusema Yesu alimtokea Paulo hadi Paulo amuone mkubwa au mdogo..haikusema ila ilisema miale ya mwanga iliangaza toka mbinguni..haikutaja..ukubwa au umbo la Yesu..vile vile Yesu hakuwahi kuwa mkubwa wala mdogo..maana daima Alikuwa Mungu
  11. mtundu g

    Ripoti: Syria ilirusha makombora 56 Israel 47 yaliishambulia Israel.Netanyahu atangaza hali ya hatari

    Israel they never fail..never ever fail..they survived Egypt...survived Mesopotamia...survived Persia ...survived Romans...survived Hitler..who is Syria to scare them?..before you talk about their defeat remember who are they..where are they from..they are simply blessed and protected nation...
  12. mtundu g

    Kardinali Pengo hatajiuzulu

    msisumbuke nae..Pengo anastaafu in two years to come
  13. mtundu g

    Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    point of correction..historia ya ukristo haisemi hivo..refer first 1000yrs of christianity..and another 1000yrs of christianity
  14. mtundu g

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    nadhani umechanganya kati ya roschild na rockerfeller...roschild...ndio matajiri zaidi..ndio wenye authority ya kuamua nani awe rais wa nchi gani..ni wao ndio walopanga vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia...plus wat goes by in the world..ni matajiri..kuliko hata taifa lote la marekani..plus...
Back
Top Bottom