Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

VERY ENTERESTING KWA HIYO OSAMA WALIMWONEA BURE

WOTE TUNAJUA KUWA WAO NDIO WENYE
WORLD TRADE CENTER NA

STORY ZINASEMA KUWA WAO NDIO WALIOIANGUSHA WORLD TRADE CENTER

800px-World_Trade_Center%2C_New_York_City_-_aerial_view_%28March_2001%29.jpg

Duh jamaa wanapanga hadi nani awe Rais? mi nilikua sijui thank for letin me know au ndo Freemason?
Rockefeller na malkia na wenzao jumla walikuwa wanne ndio famillia tajiri zenye nguvu zilizokubali kueneza freemason duniani na shetan akazibariki. Waafrica kabla ya biblia hawampendi shetani kwahyo kina selasie uzao wa seleman na akina mensah musa kina farao walikataa kabisa.
 
Wana JF husikeni na kichwa cha mawasilisho hapo juu,hayo majina mawili na majina mazito sana kiundani ila kwa kurashiarashia ni kama utani vile.

Je ni kweli hizo ni family zenye pesa zaid ya matijili wengine hapa duniani na kiasi gani cha fedha wanazomiliki kila familia mojawapo mpka sasa na wanajihusisha zaidi na biashara gani?!.
 
Hafu usimfananishe billgates na rockafella au Rothschild sababu those are families tena koo kabisa hafu unacompare na utajiri wa individual its not fair kabisa unamuonea tu
 
nasubiri kutukanwa kwa nitakalosema hapa lakini nitasema tu.wamejenga makanisa mengi sana.wamejenga seminari nyingi sana U.S wamejenga universities nyingi sana U.S.Wana taasisi nyingi zinazomilikiwa na taasisi nyingine zinazomilikiwa na nyingine..its a chain of organizations!wameiweka dini mikononi mwao ili kucontrol mafundisho yake yaendane na falsafa wanazotaka wao.hawa ndio Rockfellers,mojawapo ya familia 13 zinazounda supreme council ya illuminati inayotawala dunia yetu leo.familia nyingine ni Rothschild,Bundy,Kennedy,Russell,Astor,Collins,Du Pont,Freeman,Li,Onassis,Reynolds na Van Duyn.pia kuna watu huwa hawaorodheshwi hapa kutokana na structure ya network yao ilivyo lakini wako karibu sana na council of 13.hawa watu ni koo za kifalme za ulaya(U.K,HOLLAND,SPAIN ETC).jambo ambalo watu wengi hawajui ni kuwa koo hizi za kifalme za ulaya zote zina mahusiano ya damu na pia zina mahusiano ya damu na hizo familia hapo juu.baada ya council of 13,kuna council of 33 na baada ya council of 33 kuna council of 300.hizi council nyingine ni za watu wa kawaida matajiri akina Agnelli,Morgans,Carnegie,Warbug etc.sikumbuki kumuona Gates kwenye list hizi.hii council of 300
ndio ina-interact na akina sie na serikali zetu kupitia organizations mbalimbali zikiwemo za intellijensia,Kijamii,kidini na kisiasa kama U.N,AU,C.I.A,MOSSAD,KGB,M16,YMCA,LUCIS TRUST,BENKI,HOSPITALI,VIWANDA,SERIKALI ETC!nisingehangaishwa na uwepo wa watu hawa kama ishu ingekuwa wanataka madaraka na fedha tu!no,they want power!power in every sense!nguvu yote hata nguvu inayokufanya wewe na mie tupumue.kwa nini?asili yao inaeleza sababu.karibu hizo familia zote 13 zinatokana na asili ya binadamu wasio wa kawaida.hili ndilo giza nene lililoifunika dunia.tunadhani wote tuko sawa.no,nenda Misri eneo linaitwa Giza,katazame pyramids na miji ya zamani,nenda Mexico,katazame pyramids za kule(kuna hekalu moja kule limejengwa kwa pyramids nyingi zilizounganishwa kwa barabara na underground tunnels ambapo ukizichora tunnels hizo jinsi zinavyounganisha ramani ya hekalu hilo kwa ujumla ukatazama kwa juu yaani aerial view iko exactly mchoro wa microchip ya computer!).huko utakuta miji na mahekalu vilivyojengwa kwa very advanced technology ambayo leo tunastruggle kujifunza taratibu.ni nani aliyejenga na kuwapa watu hao wa zamani sayansi kubwa hivyo?nimegusia hayo kuonyesha kuwa hata katika dunia ya leo upo ushahidi wa kutosha kuprove jambo hili zito lisilosemwa sana,kwamba huko nyuma kuna tukio kubwa sana lilitokea na hadi leo athari zake zinatawala maisha yetu.tukio hilo ni interaction kati ya binadamu na viumbe fulani wengine wa Mwenyezi Mungu(huwa tunawaita tu malaika hii inatupa upofu sana)walikuwa 200 wakiongozwa na mkuu wao Azazel waliposhuka ktk kilele cha mlima Hermon na kuigiza maumbile ya kibinadamu.kilichowaleta ni kutamani binadamu.walitaka kukaa nao,wawatawale,wazae nao,waanzishe empire yao tofauti na utaratibu waliopangiwa na Mungu.wakafanya hivyo.ikazaliwa offspring ya ajabu,majitu makubwa yenye nguvu za kutisha na akili za ajabu na roho za ajabu maana nusu binadamu nusu malaika.waliitwa nephilims,leo tunawaita titans(usifikiri hadithi ya kigiriki hii)!kutokana na hiyo offspring kuwa imbalance,ilileta vurugu kubwa duniani,na kama Mungu asingeingilia kati mbegu ya binadamu pure ingetoweka.hao malaika pamoja na hayo matoto yao ndio walifundisha binadamu mambo meengi ambayo leo yana sehemu kubwa ktk sayansi,elimu na tamaduni zetu hasa mashariki ya mbali,India na america.base yao kuu ilikuwa bara la Atlantis lililokuwepo katikati ya america na ulaya.kitendo hiki kilimchukiza Mungu mno akaamua kutuma gharika ya maji na kuteketeza dunia nzima pamoja na bara la Atlantis isipokuwa binadamu mmoja anaitwa Nuhu na watoto wake na baadhi ya wanyama ambao hawakuchafuliwa(nephilims walizaana hata na mijusi,kilichotoka hapo ni balaa).LAKINI kuna laana alitamka Mungu,kwamba roho za viumbe hao hataziangamiza,ataziacha na zitakuwa chanzo cha kila uovu duniani kwa umri wote wa dunia hadi mwisho ili viumbe wake wote wapate darasa how serious was this mistake!roho hizo ndizo zilimuongoza Nimrod kuijenga Babylon na kuanzisha idol worshiping na tamaduni za Atlantis zikaanza kurudi taratibu huku spidi yake ikivurugwa na elimu ya dini ya mitume na manabii wa Mungu.ilibidi utaratibu wa kuinteract na binadamu ili kutimiza lengo lao waufanye kwa siri,taratibu,miaka na miaka,wakiibadili dunia taratibu hadi mazingira yakiruhusu,roho hizi zikiwa ndani ya miili ya kibinadamu,zitaigeuza dunia nzima kuwa kama Atlantis!ndipo hapa vyama vya siri na dini zisizoeleweka vinaposhamiri underground.hawa council of 13 ni binadamu waliotoka koo zenye asili ya damu ya nephilims walioanza kuingiliana na binadamu pale Babylon hadi leo.ndio hao akina Goliath,ndio wale titans wa Yeriko,ndio hawa leo tunawaita alliens!muhimu:the BIGGEST LIE ktk elimu yetu,ni kuaminishwa malaika hajamiiani!
Too inconsistent brother kwasababu moja ifutayo unasema they were wiped out by the flood

Hafu unakuja tena kutuambia about their blood line
Either umekosea kuandika au may be what you wrote never existed even
 
Aliens ni kama strangers kiumbe chochote hai chenye intelligence originating outside the earth tunakiita alien sio nephilims
 
kwa muda wa miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS

kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri
na katika baadhi ya wachangiaji walisema kuwa familia ya kina rothschild imepoteza ubabe wao wa kipesa eti familia ya kina rothschild wanazidiwa na kina bill gates, warren buffet n.k

niliishia kucheka na ndicho kilinichonisukuma mie leo kuandika machache kuhusu familia hii ya kina rockafeller

rockafeller ni familia ambayo imekuwapo tangu enzi na enzi ndio msingi wa serikali ya marekani kuwepo pale
ubabe wa serikali ya marekani unatokana na uwezo wao hawa jamaa Rockerfeller

JOHN D ROCKERFELLER NDIO TAJIRI AMBAYE HAWA NINA BILL GATES UTAJIRI WAKE WATAKALIA KUUSIKIA TU

BILL GATES ANA LIKE 50 MILL BILLION USD ILA DID YOU KNOW THAT JOHN D ROCKAFELLER'S NET WORTH ILIKUWA $663.3 BILLION IN 2007 , ACCORDING TO LIST OF WEALTHIEST HISTORICAL FIGURES

huyu jamaa watu wanasema alifilisika , no hakufilisika ila pesa zake alianzisha miradi mbali mbali mikubwa CHINI YA SERIKALI YA MAREKANI

na hii ilikuwa ni kujipenyeza ili aweze kuwa na say katika serikali ya marekani

mpaka leo familia yake ndio familia yenye nguvu sana marekani na duniani kote, wao ndio wanachagua nani awe raisi, nani awe mkuu wa majeshi nani awe makamu wa raisi famlia ya rockerfeller wanaingiza pesa nyingi sana kila siku kwenye miradi mikubwa ya marekani ikiwamo mradi wao maarufu wa ROCKAFELLER CENTER

rockafeller center ni nini??

Ngoja nikuulize swali dogo?

ukiambiwa neno NEW YORK unafikiria nini

MAGHOROFA si ndio
hayo maghorofa ambayo asilimia kubwa yako yapo pale midtown midtown manhattan
sasa jamaa hawa wana majengo 19 katika midtown manhatan acres 22 kuanzia street ya 48 mpaka ya 51

820px-NYC_Top_of_the_Rock_Pano.jpg

kama hivyo ndivyo rockafeller center inavyoonekana

picha zingine hizi hapa

250px-GE_Building_by_David_Shankbone.JPG

220px-Rockefeller_under_construction.png

hapa ilivyokuwa inajengwa mwaka 1932

wao ndio wanamiliki vyuo vikuu maarufu vyote vya marekani kwa kupitia Rockafeller foundation

vyuo hivyo ni

vingine ni

  • Senior (and Junior) also created
    • Rockefeller University in 1901
    • General Education Board in 1902, which later (1923) evolved into the International Education Board
    • Rockefeller Sanitary Commission in 1910
    • Bureau of Social Hygiene in 1913 (Junior)
    • International Health Commission in 1913
    • China Medical Board in 1915.
    • Rockefeller Museum, Israel, 1925&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];30
    • In the 1920s, the International Education Board granted important fellowships to pathbreakers in modern mathematics, such as Stefan Banach, Bartel Leendert van der Waerden, and André Weil, which was a formative part of the gradual shift of world mathematics to the US over this period.
    • To help promote cooperation between physics and mathematics Rockefeller funds also supported the erection of the new Mathematical Institute at theUniversity of Göttingen between 1926 and 1929
    • The rise of probability and mathematical statistics owes much to the creation of the Institut Henri Poincaré in Paris, partly by the Rockefellers' finances, also around this time.[SUP][7[/SUP]
    • Junior was responsible for the creation and endowment of the Colonial Williamsburg Foundation, which operates the restored historical town at Williamsburg, Virginia, one of the most extensive historic restorations ever undertaken.

REAL ESTATE

HAPA NDIO PATAMU

The family was heavily involved in many real estate construction projects in the U.S. during the 20th century. Chief among them:

  • Rockefeller Center, a multi-building complex built at the start of the Depression in Midtown Manhattan, financed solely by the family
  • International House of New York, New York City, 1924 (Junior) {Involvement: John D. 3rd, Abby Aldrich, David & Peggy, David Jr., Abby O'Neill}
  • Wren Building, College of William and Mary's, Virginia, from 1927 (Renovation funded by Junior)
  • Colonial Williamsburg, Virginia, from 1927 onwards (Junior, Abby Aldrich, John D. 3rd and Winthrop), historical restoration
  • Museum of Modern Art, New York City, from 1929 (Abby Aldrich, Junior, Blanchette, Nelson, David, David Jr., Sharon Percy Rockefeller)
  • Riverside Church, New York City, 1930 (Junior)
  • The Cloisters, New York City, from 1934 (Junior)
  • The Interchurch Center, New York City, 1948 (Junior)
  • Asia Society (Asia House), New York City, 1956 (John D. 3rd)
  • One Chase Manhattan Plaza, New York City, 1961 (David)
  • Nelson A. Rockefeller Empire State Plaza, Albany, New York, 1962 (Nelson)
  • Lincoln Center, New York City, 1962 (John D. 3rd)
  • World Trade CenterTwin Towers, New York City, 1973-2001 (David and Nelson)
  • The Embarcadero Complex, San Francisco, 1974 (David)
  • Council of the Americas/Americas Society, New York City, 1985 (David)
  • In addition to this is Senior and Junior's involvement in seven major housing developments:
    • Forest Hill Estates, Cleveland, Ohio
    • City Housing Corporation's efforts, Sunnyside Gardens, Queens, New York City
    • Thomas Garden Apartments, The Bronx, New York City
    • Paul Lawrence Dunbar Housing, Harlem, New York City
    • Lavoisier Apartments, Manhattan, New York City
    • Van Tassel Apartments, Sleepy Hollow, New York (formerly North Tarrytown)
    • A development in Radburn, New Jersey
    • A further project involved David Rockefeller in a major middle-income housing development when he was elected in 1947 as chairman of Morningside Heights, Inc., in Manhattan by fourteen major institutions that were based in the area, including Columbia University. The result, in 1951, was the six-building apartment complex known as Morningside Gardens

ROCKEFELLER NDIO WAANZILISHI WA
Fed AU KWA JINA JINGINE NI FEDERAL RESERVE SYSTEM

FED NI NINI?

FED NI BANK SYSTEM YA MAREKANI AMBAYO NDIO INAYO CONTROL DOLLAR ILIYOANZISHWA MWAKA 1913 KAMA SIKOSEI

NA HII WALIKUJA NAO KIPINDI CHA GREAT DEPRESSION KWANI GD ILIKUWA INACHANGIA WAO UTAJIRI WAO KUSHUKA SO WAKAJA NA HII FED ILI WAWEZE KU CONTROL DOLLAR

WANA MSEMO UNOSEMA

WE CONTROL DOLLAR, WE CONTROL OUR WEALTH

252px-USDnotes.png

WOTE TUNAJUA KUWA WAO NDIO WENYE
WORLD TRADE CENTER NA

STORY ZINASEMA KUWA WAO NDIO WALIOIANGUSHA WORLD TRADE CENTER

WHY??

1 SWEET REVANGE
2. 1 SHOT TWO BIRDS

SWEET REVANGE

SWEET REVANGE NI KUWA WANA TAKE BACK THEIR OIL BUSINESS FROM ARABS KWANI KIPINDI KILE WAO ENZI ZA KINA JOHN D UTAJIRI WAKE MKUBWA ULIKUWA NI OIL

THEN ARABS WAKA TAKE OVER

SO WANAFANYA SWEET REVANGE WAKICHUKUA WALICHOIBIWA KUTOKA KWA BABU YAO JOHN D Oil

1 shot two birds

hii ni kuwa
they take back oil business kwa kuiba oil kutoka kwa arabs

na kufanikisha biashara yao ya silaha ambayo wame sign contract na serikali ya marekani

hao ndio ROCKAFELLER FAMILY FAMILIA MATAJIRI
ZAIDI MAREKANI NA DUNIANI KWA UJUMLA
nadhani umechanganya kati ya roschild na rockerfeller...roschild...ndio matajiri zaidi..ndio wenye authority ya kuamua nani awe rais wa nchi gani..ni wao ndio walopanga vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia...plus wat goes by in the world..ni matajiri..kuliko hata taifa lote la marekani..plus wao ndio walioleta idea ya paper money and banking system
 
1. Hizi habari za "net worth of so and so in 2007 dollars" is murky unless the accounting method is revealed.
2. The Rockafelleer Wiki is here , I am not seeing those figures, where are you getting those figures?3. What exactly constitute a "family"? Are we talking about the nucleus family or including extended family?
Ni koo hapo maana hio unaweza kuta hata wapo maelfu
 
Hizo koo.zina mawe!
Lakin in kwa damu
Utajir wa damu!
Also pana siri sanaaa
So msikubali matango por ya watu humu!
Also wanajiendesha kwa usir mkubwa Sana'a!
 
dah nimejifunza ulimwengu wetu ila bado nahitaji kufahamu zaidi juu ya nephilims na jinsi ambavyo wanaendelea ku survive juve ningependa uje ufafanue zaidi hawa watu maana hata mimi kuna jambo huwa naliafiki kwamba adam hakuwa kiumbe wa kwanza mwenye mwonekano wa binadamu walikuwepo kabla yake maake hata biblia inasema baada ya kaini kumuua abil kunasehemu alikimbilia na huko alikutana na watu na akaoa sasa hao watu walitokea wapi? wakati abili na kaini ndo walikuwa watoto pekee wa adamu na hawa kwa wakati ule
:confused3:
Kuhusu kaini hakuna confusion pale someni vizuri bible
Tatizo watu wengi aidha wamefundushwa vibaya au wana overlook wanaposoma
Challenge kubwa ni kwamba wengi hudhani adam alizaa watoto wawili prior to the death of Abel lakini sihivyo kitabu cha kwanza kimetaja only important figures ambao walienda Ku dictate historia ya Israel

Lakinii ukisoma vizuri kupo wazi Adam alizaa watoto wengi mno wakutosha na ndo hao ambao kaini alikwenda kwai huko
Mwanzoni mwa wanadamu ilikuwa ruksa kuoa Dada ako kulikuwa hamna namna hadi kipindi cha nabii musa ndo incest ( ndoa/mapenzi ya ndugu yani) ikabatilishwa
So rudi in the bible soma critically utaona ninacho kuambia
 
Rockefeller na malkia na wenzao jumla walikuwa wanne ndio famillia tajiri zenye nguvu zilizokubali kueneza freemason duniani na shetan akazibariki. Waafrica kabla ya biblia hawampendi shetani kwahyo kina selasie uzao wa seleman na akina mensah musa kina farao walikataa kabisa.
waafrika hawahawa uchawi ndo ulipo lala uku matambiko ya mizimu
 
Back
Top Bottom