ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,035
- 49,713
Habari wadau.
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mtama kwa mwenye uzoefu jinsi ya ukulima au upandaji,uzalishaji kwa ekari,uhakika wa soko na changamoto zake.
Nimejaribu kupekua hapa na pale sioni habari zake kwa Tanzania na huku Tunduma hata sokoni hakuna anaeuza ingawa kwa Kenya na Ethiopia habari zake ni nyingi na pia inaonesha kuna soko tofauti na kwetu. Hata kwingineko duniani inaonekana ni kilimo kikubwa tofauti na bongo.
Natamani kulima kibiashara lakini soko lake vipi kwa hapa bongo?