Recent content by Mtumishi Wetu

  1. Mtumishi Wetu

    Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

    Inawezekana chunga ulimi wako!!
  2. Mtumishi Wetu

    Mbowe, Lissu: Rais Samia amegawa Maliasili za Taifa bila Bunge kushirikishwa

    Members.Plse mmesahau Tume huru ya uchaguzi. Jibu ni Tume Huru Ya uchaguzi.
  3. Mtumishi Wetu

    Kramo anaomba kuondoka Simba

    Mwaka huu mtacheka!! Pole saana!!
  4. Mtumishi Wetu

    Kramo anaomba kuondoka Simba

    Mwaka huu mtacheka!! Pole saana!!
  5. Mtumishi Wetu

    DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

    Poleni Mwl, Polisi msiwe vibwengo. Huyo Mwl atolewe ndani Apelekwe mahakama ni ajibu mashutaka kama yapo!!
  6. Mtumishi Wetu

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine ni Taifa dogo . Lilikuwa chini ya Soviet Union. Mataifa yote yakapata uhuru. Soviet iliwekeza saana Ukraine, Sasa wanataka kujiunga na Uropa, kosa liko Wapi?? Wanaonewa sababu ni wadogo?? Moscow kavamia ameshidwa!! Wasamaria wanatoa msaada kuwatoa utumwa wa Kikomnist, kosa liko Wapi...
  7. Mtumishi Wetu

    Msaada: Napenda kunyonya matiti ya mwanamke sana

    Tafadhari fanya maombi. Unaendeleaje roho ya nyoka itakutesa!! Mpe Bwn Yesu maisha upate amani!!
  8. Mtumishi Wetu

    Aliyekutangulia Hakuwa Yesu Kristo japo alifafanana na Yesu Kristo Kuhubiri kuwa aliyesulubiwa na kufufuka ni Yesu kosa li wapi?

    Wapendwa msipoteze muda, majibu yote Soma Biblia, Agano la Kale na Agano Jipya!! Mbarikiwe!! Thanks
  9. Mtumishi Wetu

    Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

    Kwani Jesca hayupo? Unahamia kwenye kivuli. Waachie mji wao, kucheza halaiki huwezi.
  10. Mtumishi Wetu

    Januari Makamba, tulijua utakwama tu. Muda ni mwalimu mzuri!

    Since alukuwa Waziri Mazingira, mpinzani wa Bwawa la Nyerere?? Umepewa kijiti jitumbue Sasa!! Poleni WaTzee!!
  11. Mtumishi Wetu

    Karibuni Chato Zoo and Hotel

    Huo Ni wivu Sasa, hakua Moshi ufaidi kukaa karibu na Kilimanjalo, Nani kinehe?! Mvoba hawajatamani ziwa Victoria likauke?!
Back
Top Bottom