Recent content by Mtumishi kazi

  1. M

    Kuvunja ndoa

    habari za saa hizi wana jamvi hili.kwanza nawashukuru kwa michango mnayotoa humu ktk kufungua ufahamu wa wasomaji. mie leo naomba kuuliza hivi:iwapo mahakama itathibitisha pasi na shaka(katika shauri la kudai talaka kwa mmoja wa wanandoa) kuwa, maumbile ya sehemu za siri yanatofautiana sana na...
  2. M

    Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

    hao bata mnawalia wapi?sisi wadogo zenu hatuoni hata wanapochinjwa.KUJITOA MUHANGA NAOGOPA.
  3. M

    Kuanzia sasa ukienda kuoa Moshi andaa vitu hivi...

    Tangu lini?kwa jamii ya kuigwa km chaga?ni fitna tu bro.hakuna moshi ya ivo!
  4. M

    Nahitaji kuwa na rafiki wa kike kutoka mwanza, mara au geita.

    mi niko geita lkn umebagua jinsia.mi nahitaji jinsia zote,aliye mwnz au gt karibu pm au0785764637
  5. M

    Natafuta rafiki wa kuchat

    hizi elimu,majanga.maana kila kitu degree,hata ushauri wa wazazi tutajaukataa, kisa- ELIMU
  6. M

    Natafuta rafiki wa kuchat naye

    your wel com.ni pm maana hukutoa cont
  7. M

    Nahitaji marafiki

    We ni add mimi niko bye
  8. M

    Nahitaji marafiki

    Ndugu wanajamii,nahitaji marafiki wa kuchat nao wa jinsia zote kabila umri na viwango vyote.asipendelée matusi au lugha ya maudhi.karibuni
  9. M

    Tanzia: Mamndenyi kafiwa na baba yake mdogo

    POLE dada yetu Mungu akupe nguvu R.I.P baba yetu
  10. M

    Kwa mwanaume unayehitaji mke inakuhusu

    ok kubali yaishe
  11. M

    Kama wewe ni mwanamke wa miaka 30+ na upo single inakuhusu

    unaweza ukacheka humu hata ukapoteza fahamu,watu wana hoja na vioja
  12. M

    Ni wewe ninayekupenda sana please ni wewe

    natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha ngono,mpenda amani na asipende bifu na watu,asiwe mkimya sana, mshauri na aliyetayari kushughulika na...
  13. M

    Mwanamke: Chumba cha kulala kinapokosa staha, nani alaumiwe…?

    Kiukweli wanawake ndio viungo wa kupostia mahouse girl kwa waume zao,maana kuna vitu wanawapa hao girlz wamfanyie mzée ambavyo hawakupaswa kuvifanya na kuwaleta close,hivyo kujikuta wanapiga pasi ya mwisho na mume ana score.
Back
Top Bottom