Natafuta rafiki wa kuchat

raia_mwema

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
479
313
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc...
Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza...
kama upo tayari ni Pm...
sio lazima kuchangia hapa kama haukusu endelea na shughuli zako nyingne
 
Ucbague wa2 bana coz hta m2 wa drxa la xba anaweza kuwa na mawazo ya buxra na mkachti poa! Don mind n mtazamo 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom