Recent content by Mtumiabusara

  1. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA avunja sheria ya Uchaguzi, NEC yampa onyo

    Hivi ukilitembelea kundi fulani la jamii hutakiwi kuliomba kura? Simaanishi kundi la dhehebu la dini fulani, bali makundi mengine kama wanachuo nk
  2. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania TBC wamezima tusione Bunge

    Miswada lazima ipite
  3. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

    Rubani anatumia camera kuona all sides of the plane
  4. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara Dar

    Jamani vipi bado imefungwa? Tupeane updates
  5. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ailipua Airtel bungeni dhidi ya TTCL

    Naomba nieleweshwe, airtel anawezaje kuwa mbia wa TTCL wakati na yeye anafanya biashara hiyo hiyo independently? Mbia gani anaweza kumsaidia mpinzani wake kibiashara afanikiwe?
  6. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Toyota carina ti inauzwa

    Tano unachukua?
  7. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota vista ipo vizuri sana

    Weka bei hadharani mkuu
  8. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Suzuki inauzwa

    Nikupe 4m
  9. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Toyota corolla E100, inauzwa

    Tayari, Teknolojia ya picha ilikuwa inasumbua kwenye haka kasimu kangu
  10. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Toyota corolla E100, inauzwa

    Automatic
  11. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Toyota corolla E100, inauzwa

    Cc 1330, ipo kwenye hali nzuri, bei 4m
  12. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tumepokea mapendekezo ya bunge, ila tunataka kwenda deep zaidi

    Kumbe uchunguzi ulikuwa haujakamilika
  13. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    Walipe kodi zetu kwanza, wakishalipa tunanunua mitambo mipya
  14. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    makamu wa Rais Zanzibar Anasema kura za katiba mpya zilichakachuliwa. Waliopiga kura za siri sita walipiga za hapana, Ukawa za zanzibar 65, kura za hapana za wazi saba, pamoja na ya mwanasheria mkuu 1, Makka haiwezekani kupelekewa karatasi ya kupiga kura!
  15. Mtumiabusara

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Maalim Seif: Katiba ya Sita na Chenge mahala pake zanzibar ni kwenye pipa la takataka. Anasema koti la muungano lilovaliwa na Tanganyika Limeongezewa urefua
Back
Top Bottom