Suzuki escudo inauzwa bei sh 8M. Cc 1500. imetembea Km 131000.
mkuu hizi gari ni mkataba utakaa nayo hadi mwisho ukiagiza kutoka japani hadi hapa ni milioni 11 cash zaidi ya alteza na verosaWastaafu wengi sana wanapenda aina hii ya gari, sijui kwa nini!