Napelina Nnauye,na wewe ulikuwa safarini nje ya nchi?maana naona wewe na Mwigulu mlikua kimya sana,toka Marando awaumbue,au mlikua hollywood mkiandaa mkanda mpya wa kisasa zaidi dhidi ya Lwakatare.
Jeshi la waasi wa nchini kongo(M23) limetangaza nafasi 700 kwa proffesional(vijana wenye taaluma mbalimbali)ili kuweza kukabiliana na upinzani mkali unaotarajiwa kutoka katika vikosi vya UN,ambavyo vimepewa uwezo wa kupambana na waasi hao.Akiongea kwa kujiamini mkuu wa M23,bwana Sultani Makenga...
We umeona wapi,mnyiramba ana majina ya kisukuma.Kama mtu anaweza kulikana jina lake halisi,anawezaje kupigania maslahi ya nchi,Lameck Mkumbo ndiye anayejiita Mwigulu Nchemba(period)
Hakika kuishi katika pori la Misigiri kwa miaka miwili,ulikuwa ndiyo mwanzo wa safari ya matendo ya kigaidi ya bwana Lameck Mkumbo,ambaye hujiita Mwigulu Nchemba,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.