Tuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa Dar...
picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma .
Any way tusubiri ripoti ya waziri.
Soma Pia: Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.
kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
nachpenda ni kwamba kwa Tanzania ile generation cha pombe ndo inaelekea uzeen kizazi cha walevi ni millennials wa 1989 rudi nyuma
vijana wa 1990+ wengi wapo smart no pombe no ulevi
Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa
Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo.
.
Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.