Pole sana!
Ila mwamba ukizinguliwa si unahama Kampuni, make una hela yako bet kwingine na makampuni kibao. Labda kama una Hisa apo sawa![emoji188][emoji188]
Hili la wahuni kukuchapia labda uwe ni wa Transit, lakini local unawahi kurudi maana miundo mbinu ishakuwa Safi. Sema enzi hizo za kuja kupita Sekenke mpaka utulize kwanza Shelui au Misigiri siku mbili unaomba sala zote. Na kuchapiwa labda shemeji kama si mvumilivu hata kama upo watachapa tu...
Ni kuwaeleza, kuwaelekeza na kuwakanya vizuri. Wape elimu juu ya Mali za familia kwa upole na waeleze hasara kuwa ni mbaya.
Wakiwa wakahidi pitisha kiboka kama mzazi siyo mpita njia; na usionyeshe Upendo saana kwa Watoto kupita kiasi maana hapo unajenga kitu kinaitwa DEKO. Matokeo au faida ya...
Duuh pole sana mwana familia mwenzetu! Na MUNGU [emoji1431] ampe wepesi apone na ampunguzie maumivu. Tunamuombea yuko pamoja naye aliyemuumba[emoji1431][emoji1431].
Lolote linawezekana anaweza kuwa kwenye ajira na huku anasoma ni kitu kinachofahamika popote duniani, vilevile imeongelewa kuwa anaenda kupewa ujuzi wa kinadhalia na matendo yawezekana hata level ya elimu yake ikapanda na zaidi tushaambiwa kuwa tayari kaishapokelewa. Isitoshe tambua kuwa ajira...
Hivi unajua gharama za kuingiza madawa nchini na kuyasambaza kwenye mahospital na vituo vya afya?. Na una takwimu ya viwanda vingapi vya kutengeneza madawa ya binadamu nchini mwetu?. Sahau hilo na hakuna kitu kama hivyo istoshe kwa gharama hizo kuhusu bima serikali imejitahidi, swali ni kwamba...
Shibe ya Amani Kaka hiyo ndo imewatawala, upumbavu mtupu. Vimezaliwa kwenye Amani vimekulia kwenye Amani havijawahi kuonja joto ya vita wala baa la njaa hivyo vinaona Dunia vimeimiliki ujinga mtupu.
Eee bwana mkuu mi mwenyewe baada ya kuona pambano limeisha ilinichukua si chini ya dk 10 kama si 15 kuyawaza hayo. Kulikoni jamaa mwanzo alionekana anammudu mshikaji lkn ghafla alianza kubadilika kana kwamba amemwagiwa upupu. Kiujumla mwenzentu ameonyesha udhaifu mkubwa mnoo kama umeibiwa begi...
Pole MWAKINYO hao ndo Wazungu wana mbinu nyingi za ushindi, kitendo cha kupoteza vifaa vyako ulikuwa ushaingia mkenge na yawezekana si kwa bahati mbaya. Na kweli round za mwanzo ulikuwa umemuimili mpinzani wako na ulionekana kweli unahangaika na kiatu round ya pili. Tunazidi kukuombea mwanaume...
Hizo kemikali zinazonyunyiziwa kuna usalama kweli? Au ndo sumu kabisa kwa madhara ya baadae.
Kitu asili ni asili bhana, acha MUNGU aitwe MUNGU kazeni maombi.
Siyo baba kuwa mnufaika yeye alishauri kaa mzazi, lkn dogo naye akaona ameingiliwa kwenye imaya yake. Sema maamuz alochukua ni kuchuma dhambi na kujipaka mateso akiwa hai duniani. Tuwaheshimu wazazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.