Msaada: Nina tatizo la kuchelewa kupiga bao

Msaada: Nina tatizo la kuchelewa kupiga bao

Habari wadau

Nina tatizo la kufanya mapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sana bila kutoa bao au shahawa. Hii hali inanitesa sana kwani siwezi kumkojolea mwanamke.

Nilishawahi kwenda hospital wakanifanyia vipimo na hawajakuta tatizo, hii hali inafanya mwenza wangu ajisikie vibaya kwa kuzani sina hisia nae na ukizingatia umri unasogea na sina familia.

Yaani ka ufupi siwezi toa bao hadi nijisaidie na mkono, nimepata mtu alie tayatri kunizalia lkn linapokuja hili swala la kuchelewa kukojoa nakosa amani kabisa. Wataalamu naombeni mnisaidie nifanyaje ili namimi niweze kukojoa kama wengine.
Kifupi ni kwamba unatatizo la nguvu za kiume. Wengi mnadhani mtu asiyekuwa na nguvu za kiume ni yule tu asiyesimamisha au anaekojoa mapema hapana wale wasiokuwa fika mshindo ni tatizo la nguvu za kiume. Ila kwa maelezo yako umejimaliza kwa kupiga chaputa kiasi kwamba imekuwa sugu haipati tena msisimko pale unapokutana na mwanamke. Zaidi waone watalaam wa afya na saikolojia pia unaweza pata usaidizi tofauti na hapo jiandae kuishi mkiwa. Tatizo lako linafanana na kijana mmoja bodaboda alipakia siku moja toka mbezi kwenda mpigi maghoe kwa Masawe, tukiwa njiani alinieleza hilo jambo tulikuwa hatufahamiamini lakini inaonekana lilikuwa ni tatizo ambalo linamemsumbua muda mrefu. Kwani alinambia yeye akichukuwa mwanamke hawezi rudi tena kwa sababu atasugua mpaka mwanamke anaamua kukimbia lkn jamaa mshindo hakuna.
 
Dah [emoji33]🥲🥹[emoji24]
 
Mkuu punyeto imekuathiri Sana..ngozi ya uke ni laini Sana kwahiyo tango lako halipati nguvu ya kutosha kulisugua mpaka upizi. Kumbuka Kwanza mkono ni mgumu pili unatumia nguvu vilevile kujisugua.

Anyway Hilo sio tatizo kubwa kivile mkuu just relax, mwambie mkeo akufanyie romance Sana ili upate hisia Sana baada ya hapo unaleta wazungu fresh Tu ila itachukua Mda kurudi ktk Hali ya kawaida
Akipata mbunye tight yenye joto anarudi kwenye form soon
 
Meza punje Moja ya kitunguu swaumu kila uamkapo asubuhi. Hapa utaongezaa winginwa shahawa na mobility ya mbegu

Kunywa chai yenye tangawizi nyingi hapo kwako, hapa utaongeza kinga ya mwili na ashki

Tafuna karanga, Korosho sana.
Hapa utaongeza wingi na ubora wa mbegu

Anza kununua pweza mzima halafu muandae uwe unamla kama supu asubuhi na jioni. Sikushauri wale wanaouzwa pembeni ya Barabara, hapa utaongeza ashki

Kula mbegu za tikiti na maboga na tikiti lenyewe, kumbuka ziwe mbegu uwe unazitafuna na kuzimeza. Hapa unaongeza magnesium na zinki itakayo fanya kuimarisha zaidi mbegu za kizalisha mtoto

Maji ya kutosha

Acha kupiga Mfululizo, jipe angalau tofauti ya siku 3 mpaka 7 ndio uhondomole Tena.

Utakuja kunishukuru baadae maana utakuwa ukiweka tu imooooo, wazungu walete walete
 
Ukiwahi kupiz wanasema acha nyeto, ukichelewa kupiz wanasema acha nyeto,

Watanzania vichwa maji tupu sio kila tatizo ni nyeto wengine ndo wamezaliwa hivyo na asili yake. Kuna mwingine anapiga round hata 7 kwa siku mwingine hata round 3 hatoboi ila anaweza piga masaa 7 asipiz kabisa
 
Kweli wanadamu kazi ukipizi mapema shida ukichelewa mwanyeto [emoji23] wanawake mnataka Nini lakini

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom