Muda huu mbunge wa chadema sugu ametangaza machnga wote kuendelea na biashara baada ya magigano ya siku mbili bahina ya machinga na police. Baada ya kikao kirefu kati ya mkuu wa mkoa, rpc,mbunge,mkurungenzi. Mambo yapo swari na vijana wanashangilia barabara nzima kwa maandamano ya amani...
ila muda huu wanajeshi wnapita mtaani tu. na magari yanapita vizuri tu labda tusubili jioni au usiku maana mambo bado, best tufanyie faster hizo picha za mochuali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.